maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto akikua na kukuta wazazi wake ni maskini ana haki ya kuwatoa kafara ili atajirike

    Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani. Anakula kwa shida Analala mahali pana vumbi Anavaa nguo used aka Mtumba. Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ni wengi kuliko matajiri?

    Ukiangalia pengo kati ya maskini na matajiri ni kubwa vibaya sana na linazidi kuongezeka duniani kote.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
  5. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Wazi ni kuwa maskini bila kudhibitiwa ni vigumu sana kuutokomeza UMASKINI wenyewe

    Ukweli ulio wazi ni kuwa maskini bila kudhibitiwa ni vigumu sana kuutokomeza UMASKINI wenyewe. Mtu maskini ni kiumbe muharibifu,asiyejali,asiye na maono,dhaifa,dhalili na hatari katika mustakabali wa maendeleo katika uso wa Dunia. Katika kufikia lengo kuu la kuwastaarabisha waafrika kufikia...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 maskini chanzo Kutozingatia Uzazi wa mpango

    NBS imetoa takwimu mikoa 10 maskini zaidi kwa kigezo cha Gdp Mimi kama mwanauchumi sababu number 1 nikiwa mikoa tajwa hapo juu haina uwiano mzuri kati ya nguvu kazi iliyopo na kizazi tegemezi elimu ya uzazi wa mpango inapaswa kutolewa kwa nguvu zote
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji auliza mchungaji "Kwa nini mapepo ushika Maskini, na kila Jumapili watu hao hao utolewa mapepo"?

    Katika moja ya video clip inayotembea kwa kasi ni namna mtangazaji na mchungaji kutokea Kenya walivyoingia kwenye mabishano makali wakati mtangazaji akitaka kujua kwa nini Mapepo ushika maskini pekee, na si matajiri. Na akaenda mbali na kusema watu hao hao ndio ushikwa na mapepo kila jumapili.
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Huyu dada kaongea ukweli japo Lugha Ina ukakasi.Ukiolewa na Mwanaume Maskini Tulia Ukileta ujuaji kwenye Mali zake utachinjwa kama kuku.

    Sikiliza video kamaili hapa https://www.instagram.com/reel/DekdWJCik8d/?xtok=MXQycG1hZXY1azQ4dA==
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa

    Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara. Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huanguka mapepo makanisani na kwenye vituko vya Dua? Sababu ni hii 👇👇

    Biblia inasema " watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Hosea 4 : 6 Nani anawaangamiza? Ni adui/ shetani/ mapepo. Biblia inasemaje kuhusu mali? Kwenye Mithali za Suleiman, Suleiman anasema hekima inaonyesha matokeo, yaani ukiwa na hekima/ akili utapata vitu kwa hiyo hekima. Kwahiyo...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Misemo ya Maskini Wasio na Pesa Kujifariji na Kuwasema wenye Pesa( Matajiri)

    1.Anaringa ana hela ,hela ndio zitamzika? 2.Utakufa utaziacha 3.Kama huna Yesu ni Kazi Bure My Take Tutafute pesa Ili kuondoa umaskini kwenye jamii,hiki ndio chanzo Cha mihogo zmajungu na mauaji. Ongeza mingine
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Miyorgirl: Mwanaume maskini ujue hata akili hana siwezi kuwa naye

    Muigizaji na mwanamitindo nchini, Miyorgirl, amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii kufuatia kauli zake tata alizozitoa hivi karibuni wakati wa mahojiano na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo ameweka wazi vigezo vyake vya mahusiano na msimamo wake wa kutotaka ndoa kabisa...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  17. Powder

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi na ya Kiunabii kwa Nabii David Richard: Kuhusu Mifumo ya Sadaka za Ulinzi (Covering) na Ustawi wa Maskini Kanisani.

    Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu. Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania NICOLE JOY BERRY ATOA ONYO KALI: Ni bora niwe Single kuliko kudate na Maskini

    Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa...
  19. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  20. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF..na vitabu vifwatavyo WhatsApp: 0756704145
Back
Top Bottom