Mikoa 10 maskini chanzo Kutozingatia Uzazi wa mpango

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Screenshot_20261024-113957.png

NBS imetoa takwimu mikoa 10 maskini zaidi kwa kigezo cha Gdp
Mimi kama mwanauchumi sababu number 1 nikiwa mikoa tajwa hapo juu haina uwiano mzuri kati ya nguvu kazi iliyopo na kizazi tegemezi elimu ya uzazi wa mpango inapaswa kutolewa kwa nguvu zote
 
Hakuna kitu kinaitwa umaskini ,ni fikra tu ..Watu wanasurvive wanalazimisha watu wawe na uchumi centralized...Sababu kubwa za huo ujinga wao ni centralized ecomomy ,ndio maana kuna uhamiaji wa kutafuta maisha hasa sehemu za mjini.
 
Mnafichaficha ukweli.

📌Masikini na malofa wasiruhusiwe kuzaa.The poverty circle haiwezi kuwa broken kama maskini wataachwa watumie vikojoleo vyao bila kuwekewa LIMITATIONS!!!!

📌KAMA HUNA WALAU UKWASI WA ANGALAU MILLIONI MIA NI MARUFUKU KUZAA.

📌WATUMISHI WA UMMA NDIO PEKEE WANGEHIMIZWA KUOANA WAO KWA WAO NA KUZAA WATOTO WANNE.

📌KAMA SIO MTUMISHI WA UMMA ANGALAU UWE NA MILLIONI MIA PESA TASLIMU NA MALI KAMA MASHAMBA NA VIWANDA 2 VIDOGO.HAPO NDIO UTARUHUSIWA KUZAA WATOTO ANGALU WANNE.

📌BINTI KAMA HAJAOLEWA AKIBEBA MIMBA APIGWE SHABA MPKA KUFA. HAWA MALAYA NDIO WANATUHARIBIA UTARATIBU NA USTAARABU.

📌MWANAUME KAMA HUNA KAZI RASMI YENYE KIPATO ZAIDI YA MILLIONI MOJA KWA MWEZI.AKIPATIKANA UMETIA MIMBA APIGWE RISASI 3 ZA KICHWA NA MBILI ZA KIFUA.

TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA KUNDEKEZA UJINGA NA UPUMBAVU
!!!
 
KAMA HUNA WALAU UKWASI WA ANGALAU MILLIONI MIA NI MARUFUKU KUZAA.

WATUMISHI WA UMMA NDIO PEKEE WANGEHIMIZWA KUOANA WAO KWA WAO NA KUZAA WATOTO WANNE.

KAMA SIO MTUMISHI WA UMMA ANGALAU UWE NA MILLIONI MIA PESA TASLIM NA MALI KAMA MASHAMBA NA VIWANDA VIDOGO.HAPO NDIO UTARUHUSIWA KUZAA WATOTO ANGALU WANNE.

BINTI KAMA HAJAOLEWA AKIBEBA MIMBA APIGWE SHABA MPKA KUFA. HAWA MALAYA NDIO WANATUHARIBIA UTARATIBU NA USTAARABU.

MWANAUME KAMA HUNA KAZI RASMI YENYE KIPATO ZAIDI YA MILLIONI MOJA KWA MWEZI.AKIPATIKANA UMETIA MIMBA APIGWE RISASI 3 ZA KICHWA NA MBILI ZA KIFUA.

TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA KUNDEKEZA UJINGA NA UPUMBAVU
!!!
😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😆😆😆😆😁😁😁😁😄😄😄😃😃😀😀😀🤣🤣😅😅😅😂😂😂😂
 
Hakuna kitu kinaitwa umaskini ,ni fikra tu ..Watu wanasurvive wanalazimisha watu wawe na uchumi centralized...Sababu kubwa za huo ujinga wao ni centralized ecomomy ,ndio maana kuna uhamiaji wa kutafuta maisha hasa sehemu za mjini.
Umaskini ni halisi.

Watu wanashindwa kupata huduma za msingi kwa sababu ya kukosa kipato kizuri.

1. Vyakula bora
2. Huduma za afya
3.Elimu
4.usafiri.
 
Huo umaskini wa kagera sijajua upo wapi🤔
Sababu ni hiyo hiyo, hawana nguvu kazi ,, 45% ya watu wote kagera ni watoto under 18,, hapo hatujatoa wazee na ile nguvu kazi ambayo haitumiki kama baadhi ya wanawake , jobless n.k mkoa ukishakuwa na wazalishaji wachache kuliko watumiaji (tegemezi) kwenye Gdp lazima uanguke kwenye umaskini
 
Mnafichaficha ukweli.

📌Masikini na malofa wasiruhusiwe kuzaa.The poverty circle haiwezi kuwa broken kama maskini wataachwa watumie vikojoleo vyao bila kuwekewa LIMITATIONS!!!!

📌KAMA HUNA WALAU UKWASI WA ANGALAU MILLIONI MIA NI MARUFUKU KUZAA.

📌WATUMISHI WA UMMA NDIO PEKEE WANGEHIMIZWA KUOANA WAO KWA WAO NA KUZAA WATOTO WANNE.

📌KAMA SIO MTUMISHI WA UMMA ANGALAU UWE NA MILLIONI MIA PESA TASLIMU NA MALI KAMA MASHAMBA NA VIWANDA 2 VIDOGO.HAPO NDIO UTARUHUSIWA KUZAA WATOTO ANGALU WANNE.

📌BINTI KAMA HAJAOLEWA AKIBEBA MIMBA APIGWE SHABA MPKA KUFA. HAWA MALAYA NDIO WANATUHARIBIA UTARATIBU NA USTAARABU.

📌MWANAUME KAMA HUNA KAZI RASMI YENYE KIPATO ZAIDI YA MILLIONI MOJA KWA MWEZI.AKIPATIKANA UMETIA MIMBA APIGWE RISASI 3 ZA KICHWA NA MBILI ZA KIFUA.

TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA KUNDEKEZA UJINGA NA UPUMBAVU
!!!
Mkuu umeandika haya kwa uchungu mkubwa sana kama mzalendo🖐️enheeee wewe una watoto wangapi mpaka kufikia hapo ili tuweke sawa hoja zako?
 
View attachment 3697406

NBS imetoa takwimu mikoa 10 maskini zaidi kwa kigezo cha Gdp
Mimi kama mwanauchumi sababu number 1 nikiwa mikoa tajwa hapo juu haina uwiano mzuri kati ya nguvu kazi iliyopo na kizazi tegemezi elimu ya uzazi wa mpango inapaswa kutolewa kwa nguvu zote
Wingi wa watu ni mtaji, China inawatu bilioni 1 na nusu, na ni tajiri,
Zanzibar inawatu milioni 5 na ni fukara chepechepe! Malaysia inawatu milioni 2 l, wana ukwasi kama nchi za ulaya, wanaapto kubwa kuliko nchi zote za East Africa,
Israel ina watu miloni 6,ni ma tajiri!
Umaskini wetu ni wakutengenezwa na makende ya CCM yaliyokaa ikulu, kuiba,
Hii nchi ukimkabishi mchina,Mzungu, waweke mifumo Yao, tutakuwa kama Ulaya,
Africa inabidi itawaliwe Tena na mzungu, ndio itaendelea, ukichukua wazungu wa South Africa, wape hii nchi kwa miaka 20! Tu, kila kitu kitabadirika,
Kenge wamekaa ikulu kwa miaka 60+, hawawezi hata kutengeneza kiwanda cha njiti za viberiti,
 
Hivi ukishajua nina wangapi alafu inakuwaje.

Nyie ndi simbilisi nawaowaongelea hapa maskini mafukara.Hopeless!!!
Punguza kisukari mkuu! Jibu swali acha kurukaruka isije kuwa hauna kizazi Wala mtoto wa kusingiziwa alafu unaleta hoja zako hapa.

Nataka ujibu swali nyanya ntole wewe
 
Attachments

  • FB_IMG_1792821922574.jpg
    FB_IMG_1792821922574.jpg
    27.3 KB · Views: 6
Wingi wa watu ni mtaji, China inawatu bilioni 1 na nusu, na ni tajiri,
Zanzibar inawatu milioni 5 na ni fukara chepechepe! Malaysia inawatu milioni 2 l, wana ukwasi kama nchi za ulaya, wanaapto kubwa kuliko nchi zote za East Africa,
Israel ina watu miloni 6,ni ma tajiri!
Umaskini wetu ni wakutengenezwa na makende ya CCM yaliyokaa ikulu, kuiba,
Hii nchi ukimkabishi mchina,Mzungu, waweke mifumo Yao, tutakuwa kama Ulaya,
Africa inabidi itawaliwe Tena na mzungu, ndio itaendelea, ukichukua wazungu wa South Africa, wape hii nchi kwa miaka 20! Tu, kila kitu kitabadirika,
Kenge wamekaa ikulu kwa miaka 60+, hawawezi hata kutengeneza kiwanda cha njiti za viberiti,
Uliishia darasa la ngapi mkuu🤣 mimi sijapinga wingi wa watu bali napinga uzazi holela kuzaana hovyo bila mpango. Hiyo china uliyoitaja nguvu kazi yake ni kubwa kwasababu hawazaliani hovyo . Na idadi ya vizazi tegemezi china ni ndogo yani idadi ya watoto china ni ndogo kuliko makundi mengine kwenye population. Kwahiyo issue sio idadi ya watu bali ni watu gani? Population structure,, huwezi kuwa na watoto nusu ya idadi ya watu halafu ukata maendeleo. Nchi yako yenyewe ina watu milion 70 lakini watu wenye uwezo wa kufanya kazi ni milion 25,, na watu hao hao milion 25 kuna wavivu, kuna jobless kuna wanawake magolikipa yani kwa ufupi wanaofanya kazi kwa usahihi hawazidi milion 10 ndio maana unaona hata walipakodi ya moja kwa moja ni milion 2 hapo unategemea maendeleo? Hayo maendeleo yanaletwa na nani? Utakimbilia kwenye raslimali unajua kuwa raslimali huisha? Kwahiyo nilizama kuwe na mikakati ya kupangilia population kuwe na uwiano sawa kati nguvu kazi na makundi mengine
 
Mnafichaficha ukweli.

📌Masikini na malofa wasiruhusiwe kuzaa.The poverty circle haiwezi kuwa broken kama maskini wataachwa watumie vikojoleo vyao bila kuwekewa LIMITATIONS!!!!

📌KAMA HUNA WALAU UKWASI WA ANGALAU MILLIONI MIA NI MARUFUKU KUZAA.

📌WATUMISHI WA UMMA NDIO PEKEE WANGEHIMIZWA KUOANA WAO KWA WAO NA KUZAA WATOTO WANNE.

📌KAMA SIO MTUMISHI WA UMMA ANGALAU UWE NA MILLIONI MIA PESA TASLIMU NA MALI KAMA MASHAMBA NA VIWANDA 2 VIDOGO.HAPO NDIO UTARUHUSIWA KUZAA WATOTO ANGALU WANNE.

📌BINTI KAMA HAJAOLEWA AKIBEBA MIMBA APIGWE SHABA MPKA KUFA. HAWA MALAYA NDIO WANATUHARIBIA UTARATIBU NA USTAARABU.

📌MWANAUME KAMA HUNA KAZI RASMI YENYE KIPATO ZAIDI YA MILLIONI MOJA KWA MWEZI.AKIPATIKANA UMETIA MIMBA APIGWE RISASI 3 ZA KICHWA NA MBILI ZA KIFUA.

TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA KUNDEKEZA UJINGA NA UPUMBAVU
!!!
daah! sasa litakuwa taifa la aina gani? nimecheka.
 
The major problem to Africa's poverty is that, it never went through industrial revolution according to analysts.
Since 60's Africas contribution to global GDP has been 3% and it has remained there ever since.
 
Mnafichaficha ukweli.

📌Masikini na malofa wasiruhusiwe kuzaa.The poverty circle haiwezi kuwa broken kama maskini wataachwa watumie vikojoleo vyao bila kuwekewa LIMITATIONS!!!!

📌KAMA HUNA WALAU UKWASI WA ANGALAU MILLIONI MIA NI MARUFUKU KUZAA.

📌WATUMISHI WA UMMA NDIO PEKEE WANGEHIMIZWA KUOANA WAO KWA WAO NA KUZAA WATOTO WANNE.

📌KAMA SIO MTUMISHI WA UMMA ANGALAU UWE NA MILLIONI MIA PESA TASLIMU NA MALI KAMA MASHAMBA NA VIWANDA 2 VIDOGO.HAPO NDIO UTARUHUSIWA KUZAA WATOTO ANGALU WANNE.

📌BINTI KAMA HAJAOLEWA AKIBEBA MIMBA APIGWE SHABA MPKA KUFA. HAWA MALAYA NDIO WANATUHARIBIA UTARATIBU NA USTAARABU.

📌MWANAUME KAMA HUNA KAZI RASMI YENYE KIPATO ZAIDI YA MILLIONI MOJA KWA MWEZI.AKIPATIKANA UMETIA MIMBA APIGWE RISASI 3 ZA KICHWA NA MBILI ZA KIFUA.

TUMEFIKA HAPA KWASABABU YA KUNDEKEZA UJINGA NA UPUMBAVU
!!!
Daaah,noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom