mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mikoa yote kutumia mfumo wa e-Ardhi ifikapo Juni 2027

    Na Mwandishi Wetu Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027. Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

    Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19 Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 maskini chanzo Kutozingatia Uzazi wa mpango

    NBS imetoa takwimu mikoa 10 maskini zaidi kwa kigezo cha Gdp Mimi kama mwanauchumi sababu number 1 nikiwa mikoa tajwa hapo juu haina uwiano mzuri kati ya nguvu kazi iliyopo na kizazi tegemezi elimu ya uzazi wa mpango inapaswa kutolewa kwa nguvu zote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mara walianzisha vuguvugu la Mo29, This time ni Mbeya, hakika sijawai kuona mikoa yenye watu wasio na uoga kama Mara na Mbeya. Mikoa mingine mjifunze

    Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuna Mikoa, Kumiliki gari ni anasa

  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mikoa imekabidhiwa mawaziri walezi ?

    Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo. Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
  12. Daraja Makofia

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nchimbi, CCM yapanga upya safu ya makatibu wa mikoa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani. Katika mabadiliko hayo...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti na mikoa zipo nyuma ?

    Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana 1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana 2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
  18. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

    10: Kagera 9: Geita 8: Mara 7: Mwanza 6: Katavi 5: Tqbora 4: Simiyu 3: Shinyanga 2: Kigoma 1: Rukwa Maoni yangu 1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili. 2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania MAPINDUZI YA KIDIJITI: Kilimanjaro Yawa Miongoni mwa Mikoa Inayotoa Huduma za Ardhi Kupitia e-Ardhi

    MOSHI, KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za sekta ya ardhi nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta hiyo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
Back
Top Bottom