Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,896
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
 
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Laboratory
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
🐒
 
Hapana! Usiseme hivyo. Tanga ina wananchi wa kawaida sana wanaopenda kujipambania wenyewe. Sawa?
Basi,yapasa kugeuza mitazamo ya wasio ishi au kuifahamu Tanga.Wengi huwa na kuamini kwamba wakazi/wenyeji wa Tanga ni wavivu kuamka na katika kazi,wanapenda kujipumzisha muda mwingi/wavivu,wanapenda ushirikina na waswahiliswahili/maneno mengi yasiyo na tija.
 
Shida ya watu wengi wakisikia neno Tanga, taswira inayokuja ni ile ya Tanga mjini. Kumbe Tanga kama Mkoa ina Wilaya na mchanganyiko wa makabila
 
Mkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?

Maana hadi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Laboratory. Nimeitoa instagram chanzo kinasema source yake ni NBS. Nikashangaa mbona umasikini umeelemea upande mmoja tu.
 
Back
Top Bottom