Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

Umaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huko kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.

Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
 
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
Bora Pwani haipo
 
Umaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huku kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.

Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
Hakika kanda ya ziwa maisha ghali sana
 
Hii list imetoka Wapi na vigezo gani vilivyotumika,kwamba mikoa ya Mara,Mwanza na Geita Ni masikini kuliko Lindi au Manyara me naona mna Agenda zenu sio bure
-Hiyo mikoa ina Mbuga,ziwa na madini ya kutosha Halafu mnaleta list yenu ya utopolo
 
Umaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huku kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.

Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
Ya kweli haya
 
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
Mbona Dar haipo na ndio inaongoza kwa umaskini according to watu wa mikoani wa JF?
 
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
Makebo Jagina na Tanganian wanajua sababu.
 
Siku ambapo wazaliwa wa Kigoma waliopo mikoa mingine mfano Dar, Moro, Dodoma ... watakapoanza kurejea makwao na kuendeleza maeneo yao ndipo maendeleo yataonekana zaidi ya ilivyo sasa
Mfumo pesa ni tatizo , Dodoma ilikuwepo sasa ila imetoka ..Sio kwamba watu hawafanyi kazi ila huko pesa hakuna na maisha yko juu sana.
 
Tanga huwezi kuikuta. Hata omba omba utawakuta Dar, Morogoro, Iringa, Dodoma, nk. Tanga yote huwezi kumkuta mtu amekaa barbarani anaomba! Kwetu hiyo ni dharau kubwa familia.
Kwa hivyo omba omba ni dharau kwa familia na ushoga ni nini maana tanga mashoga wapo wengi na waliwahi kunitongoza mbwa wale
 
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa

Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.

2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.

3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.

Hii maana yake nini wakuu?
umesahau kuweka Arusha na Dodoma.
 
Kama haujaiweka Dodoma hiyo list yako ni batili
 
Back
Top Bottom