Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
SahihiUmasikini unaambata na population structure. Kama nchi au mkoa una kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi huhesabika maskini. Ndiposa tunahimiza uzazi wa mpango
SahihiUmasikini unaambata na population structure. Kama nchi au mkoa una kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi huhesabika maskini. Ndiposa tunahimiza uzazi wa mpango
Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, ona sasa.....
Mnawaweka watu vikoa mpige hela kariakoo. Kuna jamaa yangu ashawahi kunitimua nilkaa dukani kwake kama nusu saa hiv nikaanza kumuona anarembua. Mara kafura anasema niondoke nikajua wenyewe washamkatalia mm kuwepo paleUtukome 😹😹
😹😹😹😹 Umeanza fix zako..!!Mnawaweka watu vikoa mpige hela kariakoo. Kuna jamaa yangu ashawahi kunitimua nilkaa dukani kwake kama nusu saa hiv nikaanza kumuona anarembua. Mara kafura anasema niondoke nikajua wenyewe washamkatalia mm kuwepo pale
Kwamba umasikini wao unapimwa kwa Bei ya Sato?Maisha yako juu sana Mwanza ,Geita hao sato unawasikia tu kama maskini.
Jaman umskini ni ule uwezo wa kumudu ghrama za maisha ,sasa samaki tu gharama tena wanapatikana huko kwenu hayo mengine mtaweza?Kwamba umasikini wao unapimwa kwa Bei ya Sato?
Kule Kuna umasikini khasa na sio masikhara
Nenda Muuza,korogwe na Handeni kajioneeeTanga ina wilaya 8 na ni mbili tu ambazo zipo pwani thus zina tabia za kipwani, the rest
Ila Tanga mjini Raha sana huo MkoaWapo ila wanafanya target wala hawazunguki kwa vile wanapewa pesa na wauza maduka na misikiti , wana vituo kabisa . Hwazunguki .
Barabara ya jamaa , msikiti wa hapa hospital ya SIHA , msikiti wa ibadh.
10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Kwa elimu hii ya kukariri? 🚮🚮🚮Tuwekeze kwenye elimu. Bila elimu hatutatoboa. Kuwa na rasilimali wakati kichwani ni mazwazwa tutaendela kuwanenepesha wawekezaji
Tabora ni laboratory? Acha kupindisha hoja!Mkuu hii takwimu umeitoa wapi na inatumia vigezo gani.?
Maana hadi Laboratory nayo umeweka kama Mkoa.
Vipimo vya umaskini ni vya kipumbavu!10: Kagera