Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Hii List ni batili Lindi isiwepo Mwanza iwepo.
Ombaomba hawezi kwenda kuomba mkoa masikini.Tuhitimishe kwa kuelewana kwamba,Tanga ni matajiri(hakuna ombaomba wala masikini),sivyo?
Kukuta omba omba wengi mji fulani siyo lazima iwe kiashiria cha umaskini wa eneo. Ombaomba huwa wana tabia ya kusafiri kutoka maeneo maskini na kwenda kwenye neema kuomba. Infact ombaomba wengi kwenye mji inaweza kuwa n kiashiria cha neema i.e. ombaomba wanapata msaada hivyo wakazi wengi wana maisha mazuriTanga huwezi kuikuta. Hata omba omba utawakuta Dar, Morogoro, Iringa, Dodoma, nk. Tanga yote huwezi kumkuta mtu amekaa barbarani anaomba! Kwetu hiyo ni dharau kubwa familia.
Mzee mbona wachina wanaimani kali sana za kishirikina na wahindi lakini wametoboaNa hiyo mikoa inaongoza kwa imani za kishirikina na uchawi..!!
Sehemu za wachawi hazijawahi kuwa na maendeleo hata siku moja..!
Kagera na Geita?10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Mimi ninaishi milima ya Usambaa. Huku hakuna hizo habari zenu za ushoga. Sisi tukishuka barabarani tunakuja kuuza bidhaa zetu za kilimo na kuchukua mahitaji, halafu tunarudi tena milimani kwetu.Kwa hivyo omba omba ni dharau kwa familia na ushoga ni nini maana tanga mashoga wapo wengi na waliwahi kunitongoza mbwa wale
Umetembea hiyo Kanda ya ziwa?Umaskini wa kanda ya ziwa unatokana na gharama za maisha ya huko , huku kwetu buku 10 unakula na familia ial kanda ya ziwa kila kitu gharama . Huko kuna samaki ila haugusi , samaki size ya kawaida tu unaambiwa ni buku 10.
Huku maisha yako juu sana sio kwamba hawana pesa kabisa , huku kwetu ukiambiwa mtu ni maskini basi hana hata elfu kwa siku . Maisha ya bara yako juu sana .
Mwanza nimefika mwaka 2019 ,yaani fikiria nilikuwa ugali mchana kwa elfu 12 ,ugali na samaki wa elfu 10 ,tena samaki wa kawaida kabisa... Geita nimefika mpaka sehemu inaitwa Bulyanhulu huko ndani ndani , porini kuna mijengo balaa .Umetembea hiyo Kanda ya ziwa?
Simiyu
Shinyanga
Hii mikoa ina ukame wa kufa mtu, afadhali ya wilaya ya mkinga kule Tanga inayofanya mabinti wa sekondari waende shule wamevaa dera.
Geita
Hapa utakuta ng'ombe wanashindana kunywa maji ya kwenye madimbwi na binadamu
Kagera
Hawa ajira za serikari ndio zilikuwa zinawabeba na mlipuko wa ugonjwa wa mnyauko na kushuka kwa Bei ya zao la kahawa kumewadidimiza.
Uvuvi haujawahi kuwa na faida kwao
Mara
Hapa utakutana na masikini wengi na matajiri wachache
Mwanza
Angalau hapa panaweza kuwastiri ila ukiingia vijijini kule Bado sana
Tanga ina wilaya 8 na ni mbili tu ambazo zipo pwani thus zina tabia za kipwani, the restKama unataka kuwaona ombaomba Tanga nenda ijumaa anzia Ngamiani mpaka Bombo
Umefika 2019?Mwanza nimefika mwaka 2019 ,yaani fikiria nilikuwa ugali mchana kwa elfu 12 ,ugali na samaki wa elfu 10 ,tena samaki wa kawaida kabisa... Geita nimefika mpaka sehemu inaitwa Bulyanhulu huko ndani ndani , porini kuna mijengo balaa .
Gesti pale mjini ni bei chee sana ila tatizo vyakula ,kila kitu kipo juu yaani
Maisha yako juu sana Mwanza ,Geita hao sato unawasikia tu kama maskini.Umefika 2019?
Mimi mwaka huu, nilikuwepo huko
Utaniambia nini?
Ukiwa unaweka takwimu weka chanzo10: Kagera
9: Geita
8: Mara
7: Mwanza
6: Katavi
5: Tqbora
4: Simiyu
3: Shinyanga
2: Kigoma
1: Rukwa
Maoni yangu
1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili.
2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao wanapiga kazi kwelikweli lakini ndio masikini.
3: Mikoa ambayo kuna rasilimali nyingi, madini, samaki, maeneo ya kilimo ndio masikini kabisa.
Hii maana yake nini wakuu?
Kwanini sasa wachawi wa bongo hawatoboi?Mzee mbona wachina wanaimani kali sana za kishirikina na wahindi lakini wametoboa
Prove that assertion. Mana hapo kuna vitu viwili, umaskini wa mtu na umaskini wa jamii. Kenya population structure yake ni ya phase 2 kwenye evolution. Lakin mtu mmoja mmoja kuna maskini hata pa kulala hawana wanaozudiwa na maskini wa kitanzania ambao ni phase 3Umasikini unaambata na population structure. Kama nchi au mkoa una kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi huhesabika maskini. Ndiposa tunahimiza uzazi wa mpango
Kuna wachawi bongo kama wakinga? Humuoni sanga yule kariakoo pale?Kwanini sasa wachawi wa bongo hawatoboi?
Utukome 😹😹Kuna wachawi bongo kama wakinga? Humuoni sanga yule kariakoo pale?