Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.

Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.

Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.

Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025

Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8

Mwanza shillingi trilioni 16.7

Mbeya shillingi trilioni 12.9

Morogoro shillingi trilioni 11.4

Arusha shillingi trilioni 11.1

Tanga shillingi trilioni 10.9

Geita shillingi trilioni 10.5

Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5

Tabora shillingi trilioni 8.7

Mara shillingi trilioni 8.6

Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
 
Hii inamaanisha mama sa100 ameshindwa kuongoza nchi na ikifika siku ya maandamano tarehe29/10/2026 lazima tumng'oe ili nchi yetu tuonyooshe.Haiwezekana dodoma kipindi kile ilikuwa tatu bora lakini aliporithi tu huyu mama imeporomoka kwa kasi ya juu
 
DODOMA IMELETA MSHITUKO MKUBWA, KWA KUKOSEKANA KWAKE KWENYE KUMI BORA YA MIKOA YENYE UZALISHAJI MKUBWA (

LAKINI PIA HAIMAANISHI MIKOA ILIYO NJE YA HAPA HAINA FURSA ZA KIUCHUMI
Kwa kweli inasikitisha,
Mbeya inachakarika sana kwa ajili ya Taifa hili, hasa kwa kulisha kwa kiasi kikubwa zaidi ya nusu ya nchi.
Lakini uwekezaji wa serikali Mbeya ni duni kabisa.
Uwekezaji duniwananchi wanakosa ari ya maendeleo.
 
Mbeya inapambana lakini pea zake zinatumika kujenga Ikulu ya Dodoma
 
ni sawa. hii nchi ni moja. unakusanya ya Mbeya unajenga vya Dodoma na nakusnaya ya Dar unalipa mishahara ya watumishi waliopo Mbeya. Siyo mbaya. Nchi ni moja na yetu sote
Not fair
Mbeya wanalisha nchi hii, nakumbuka waziri Akukweti mchele wa Mbeya ulimuuua kwa kujaza ndege ndogo adi ika oerload.
Mbeya watafute mbadala wa kuuza mazao yao Zambia na Congo, au hata Kenya.
 
DODOMA

LAKINI PIA HAIMAANISHI MIKOA ILIYO NJE YA HAPA HAINA FURSA ZA KIUCHUMI
Jifunze kujiheshimu. Kwanini hujaweka chanzo cha taarifa yako?

Kwa kweli inasikitisha,
Mbeya inachakarika sana kwa ajili ya Taifa hili, hasa kwa kulisha kwa kiasi kikubwa zaidi ya nusu ya nchi.
Lakini uwekezaji wa serikali Mbeya ni duni kabisa.
Uwekezaji duniwananchi wanakosa ari ya maendeleo.
Kwa hilo, nawatetea Mbeya. Kiukweli miundombinu ni mibovu sana na uwekezaji wa Serikali hauridhishi
 
1792570896511.png
 
Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.

Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.

Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.

Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025

Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8

Mwanza shillingi trilioni 16.7

Mbeya shillingi trilioni 12.9

Morogoro shillingi trilioni 11.4

Arusha shillingi trilioni 11.1

Tanga shillingi trilioni 10.9

Geita shillingi trilioni 10.5

Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5

Tabora shillingi trilioni 8.7

Mara shillingi trilioni 8.6

Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Source: Trust me Bro
 
Back
Top Bottom