ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
- Thread starter
- #41
HAHA LABDA MGOGO DEJEMBI ATABADILI UPEPOSahihi kabisa, sasa hawa wanatuzingizia Wagogo
HAHA LABDA MGOGO DEJEMBI ATABADILI UPEPOSahihi kabisa, sasa hawa wanatuzingizia Wagogo
Mdau unapenda sana kufoka.HAHA LABDA MGOGO DEJEMBI ATABADILI UPEPO
ILA KWELI USIKUTE NDO YALE YALE YA USHINDI WA KURA ZA URAISI KWA ASILIMIA 98Hayo madude haya uhalisia ..So waachie wazungu.
Iringa kwa kipato wako fresh kuzidi mikoa mingi hapo ..Hayo ma GDP ni ushabiki tu ,hayana uhalisia.ILA KWELI USIKUTE NDO YALE YALE YA USHINDI WA KURA ZA URAISI KWA ASILIMIA 98
Basi kizimkazi mana najua ndo unapoelekeaHiyo ni miji iliyochangamka.
Hakuna jiji hapo.
Tofautisha takwimu za "Mkoa" na takwimu za "Jiji"...Mkoa wa Dodoma una halmashauri 8 ambazo ni Dodoma Jiji,Chamwino,Kondoa TC,Kondoa DC,Chemba,Mpwapwa,Kongwa,BahiDodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Jifunze kutofautisha kati ya Jiji na Mkoa .Dodoma Jiji ni halmashauri mojawapo tu kati ya 8 za mkoa mzima wa Dodoma.Pato la ndani la taifa, haliwezi toka kwenye miji ya kiserikali (administrative regions). Dodoma ni mji wa kiserikali, serikali haizalishi inasimamia.
Pia Dodoma hakuna lolote, zaidi ya zabibu. Hakuna ardhi ya madini, kilimo, uvuvi, ufugaji, bandari wala biashara yeyote pale. Dodoma ibaki tuu administrative and educational region. Mzunguko wa fedha Dodoma, unakuwepo kukiwa na bunge tuu.
Pesa iliyotumika kuijenga dom walau tungepeleka Morogoro/Mbeya au hata Mwanza.
Jifunze kutofautisha kati ya Jiji na Mkoa .Dodoma Jiji ni halmashauri mojawapo tu kati ya 8 za mkoa mzima wa Dodoma.
Kitakwimu kwa upande wa majiji na miji Dodoma ipo juu inapitwa na Dar pekee.
Chipsi unazokula Geita zote Nyanda za Juu Kusini.Acha mawazo potofu, Mbeya hailishi hata robo ya nchi.
Kizimkazi umeanza kupasikia baada ya Samia kuwa Rais.Basi kizimkazi mana najua ndo unapoelekea
Nyanda za juu Kusini ni pamoja na Njombe na Iringa.Chipsi unazokula Geita zote Nyanda za Juu Kusini.
Ngoja wakulima wagome.
Na Rukwa, iliyokuwa ndani ya Mkia wa Mbeya zamani.Nyanda za juu Kusini ni pamoja na Njombe na Iringa.
Kwa kuangalia hali ya Mbeya inaonekana tu obviously inacontribute vingi kuliko inavyopokeani sawa. hii nchi ni moja. unakusanya ya Mbeya unajenga vya Dodoma na nakusnaya ya Dar unalipa mishahara ya watumishi waliopo Mbeya. Siyo mbaya. Nchi ni moja na yetu sote
Serikali inawanyanyapaaKwa kuangalia hali ya Mbeya inaonekana tu obviously inacontribute vingi kuliko inavyopokea
SGR inauhusiano gani na Dodoma! Mbona Kisarawe ipo, Kilosa ipo, Kintinku ipo, na sehemu nyingi za maporini imepita kama ilivyo Dodoma.Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Mara kuna nini cha kuizidi Dodoma, hii list ngumu kuielewaDodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Labda, wanataka makao makuu yarudi DSM!Ndio utufokee?
Nini kuandika kwa herufi kubwa?