Mkoa wa Dodoma una halmashauri 8 ...Dodoma Jiji ni mojawapo tu kati ya halmashauri 8 zinazounda mkoa wa Dodoma, nyingine ni Kongwa,Mpwapwa, Chamwino, Bahi,Chemba ,Kondoa DC na Kondoa TC.Hivi pale unatofautishaje?
Unapojadili mada zingatia kipi kimetajwa kama ni "Mkoa" au "Jiji" hiyo ni topic ya Civics Form Two😃😃