Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Wanaongelea GDP sio maendeleo ya mijiMara kuna nini cha kuizidi Dodoma, hii list ngumu kuielewa
Wanaongelea GDP sio maendeleo ya mijiMara kuna nini cha kuizidi Dodoma, hii list ngumu kuielewa
Yes,Mara kuna shughuli gani kubwa za kiuchumi kama viwanda, kilimo,banking etc kuizidi DodomaWanaongelea GDP sio maendeleo ya miji
MadiniYes,Mara kuna shughuli gani kubwa za kiuchumi kama viwanda, kilimo,banking etc kuizidi Dodoma
Habari za uongo ,mnaletewa habari za kijinga kuja kuwapotezea fikra zenu TU 😂Morogoro imeyashinda majiji uchwara ya Tanga na Mbeya
Huyu hajui kusoma morogoro kamwe haiwezi kuipita mbeya kwenye GdpUnajua kusoma na kuandika?
DAR ES SALAAM SHILLINGI TRILIONI 39.8
MWANZA SHILLINGI TRILIONI 16.7
MBEYA SHILLINGI TRILIONI 12.9
MOROGORO SHILLINGI TRILIONI 11.4
Hii ni kweli, hata ukiangalia vyakula vingi kwenye masoko vinatoka mikoa jirani.Pato la ndani la taifa, haliwezi toka kwenye miji ya kiserikali (administrative regions). Dodoma ni mji wa kiserikali, serikali haizalishi inasimamia.
Pia Dodoma hakuna lolote, zaidi ya zabibu. Hakuna ardhi ya madini, kilimo, uvuvi, ufugaji, bandari wala biashara yeyote pale. Dodoma ibaki tuu administrative and educational region. Mzunguko wa fedha Dodoma, unakuwepo kukiwa na bunge tuu.
Migodi ya dhahabu inawabeba.Mara kuna nini cha kuizidi Dodoma, hii list ngumu kuielewa
Dodoma ingekuwa na uchumi mzuri makao makuu yasingejengwa tangu miaka ya 1970 hadi leo, na bado watu hawataki kuhamia.Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Hapo kwa watu hawataki kuhamia, hapana kwa kweliDodoma ingekuwa na uchumi mzuri makao makuu yasingejengwa tangu miaka ya 1970 hadi leo, na bado watu hawataki kuhamia.
Hakuna uchumi wa asili na mazingira mazuri, ni siasa tu zinajenga Dodoma mjini, vijijini shida tupu.
Kuwa makini Dodoma ni mkoa kiini macho😄, biashara za msimu yaani pale linapokuwepo bunge, ama vyuo vikuu vikifunguliwa au mikutano na vikao vikifanyika Dodoma..tofauti na hapo ukienda nje ya hayo matukio Dodoma ni duni sana ndugu yangu🤣. Serikali inakimbiza sana shughuri zifanyikie huko ili kupunguza makali ila uhalisia ni mkoa ambao si riziki😄😄..mkoa tasa, mkoa mkame, Kodi kidogo n.k
Hivi pale Dodoma shughuli kuu ya uchumi ni nini? Au ndo SGR, maghorofa, magari ya serikali n.kuna uwekezaji wowote au shughuli yoyote ya kiuchumi inayoajiri watu wengi?Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Je, Dodoma ina shughuli yoyote ya kiuchumi inayoajiri watu wengi kusustain hiyo kasi?Hapo kwa watu hawataki kuhamia, hapana kwa kweli
Sikuhizi Dodoma watu wanahamia sana. Inshort wameforce Dodoma kuwa jiji ila sasahivi mkeka umetiki. Dodoma inakua kwa kasi
Kuna bunge na serikali, ghost town haiwezekaniJe, Dodoma ina shughuli yoyote ya kiuchumi inayoajiri watu wengi kusustain hiyo kasi?
Am afraid, Dodoma might soon become a ghost town.
Shughuli za kiuchumi uliza watu wa Dodoma. Mi nilikuwepo tu huko last weekJe, Dodoma ina shughuli yoyote ya kiuchumi inayoajiri watu wengi kusustain hiyo kasi?
Am afraid, Dodoma might soon become a ghost town.
Msamehe bure, kakubali amekosea kusoma.Huyu hajui kusoma morogoro kamwe haiwezi kuipita mbeya kwenye Gdp
Tofautisha mkoa wa Dodoma na Jiji la DodomaJe, Dodoma ina shughuli yoyote ya kiuchumi inayoajiri watu wengi kusustain hiyo kasi?
Am afraid, Dodoma might soon become a ghost town.
Hivi pale unatofautishaje?Tofautisha mkoa wa Dodoma na Jiji la Dodoma
Acha uongo wewePato la ndani la taifa, haliwezi toka kwenye miji ya kiserikali (administrative regions). Dodoma ni mji wa kiserikali, serikali haizalishi inasimamia.