masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Mkuu mbona iko out of date-7 years ago..!!!!!
Mkuu mbona iko out of date-7 years ago..!!!!!
Mbeya hailishi nusu ya nchi,mkoa wenye chakula kingi ni mkoa zamani ukiitwa rukwa, mbeya hata mchele mzuri huchukua hukoKwa kweli inasikitisha,
Mbeya inachakarika sana kwa ajili ya Taifa hili, hasa kwa kulisha kwa kiasi kikubwa zaidi ya nusu ya nchi.
Lakini uwekezaji wa serikali Mbeya ni duni kabisa.
Uwekezaji duniwananchi wanakosa ari ya maendeleo.
Mkuu mbona iko out of date-7 years ago..!!!!!
Moro haiwezi ishinda Mbeya kwa mapatoMorogoro imeyashinda majiji uchwara ya Tanga na Mbeya
Maghorofa yana mchango gani kwenye hiyo GDP ?magorofa
Acha mawazo potofu, Mbeya hailishi hata robo ya nchi.Kwa kweli inasikitisha,
Mbeya inachakarika sana kwa ajili ya Taifa hili, hasa kwa kulisha kwa kiasi kikubwa zaidi ya nusu ya nchi.
Lakini uwekezaji wa serikali Mbeya ni duni kabisa.
Uwekezaji duniwananchi wanakosa ari ya maendeleo.
Hizo ni data fekiMorogoro imeyashinda majiji uchwara ya Tanga na Mbeya
Chanzo, nimeikuta huko gazeti la citizen na wamepewa na wahusika i think MoE via BoTJifunze kuiheshimu. Kwanini hujaweka chanzo cha taarifa yako?
![]()
Tanzania's Economy by Zone, 2025/26: Strong Growth, a Fuel-Price Shock and What Comes Next - TICGL | Tanzania Investment and Consultant Group Ltd
Tanzania Economy by Zone 2025/26: Six-Month Outlook | TICGL/TERI TICGL Home/Economic Insights/Tanzania Zonal Economy 2025/26 TICGL/TERI - Research Report, October 2026 TICGL/TERI Economy WatchZonal Performance 2025/26Prices & CreditSix-Month Outlook Tanzania's Economy by Zone, 2025/26: Strong...ticgl.com
Umasikini kaleta Nyerere na ccmHoja gani wakati unatugombeza?
Kwani huo umaskini tumeleta sisi?
Leta data sahihiHizo ni data feki
Morogoro haiwezi kuipiku Arusha.
Tanzania hakuna jiji hata moja.Oohooo!
Nimechanganya mafaili
Majiji uchwara ni Tanga na Dom
Vile viwanda vikubwa vya Sukari, Nguo na vingine, mbuga nadhani vinasaidiaMorogoro imeyashinda majiji uchwara ya Tanga na Mbeya
Arusha, Dodoma na MwanzaTanzania hakuna jiji hata moja.
Hiyo ni miji iliyochangamka.Arusha, Dodoma na Mwanza
Fursa zilizopo Mbeya kama starterDodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali.
Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/ watumiaji wakubwa wa pesa zinazotafutwa kwa jasho kutoka mikoa mingi, lakini pia inawezekana utakatishaji mkubwa wa fedha za kifisadi unaofanyika Dodoma ambazo hazipo kwenye mzunguko na mfumo rasmi umesababisha mchango wa Dodoma kutoonekana.
Licha ya kumi bora hii, katika suala la ulipaji kodi wa tra mkoa Dar namba moja, Arusha namba mbili, Mwanza namba 3.
Uchumi wa kikanda mkubwa zaidi (GDP) 10 wa tanzanganyika mwaka 2025
Dar es Salaam shillingi trilioni 39.8
Mwanza shillingi trilioni 16.7
Mbeya shillingi trilioni 12.9
Morogoro shillingi trilioni 11.4
Arusha shillingi trilioni 11.1
Tanga shillingi trilioni 10.9
Geita shillingi trilioni 10.5
Kilimanjaro shillingi trilioni 10.5
Tabora shillingi trilioni 8.7
Mara shillingi trilioni 8.6
Lakini pia haimaanishi mikoa iliyo nje ya hapa haina fursa za kiuchumi
Sahihi kabisa, sasa hawa wanatuzingizia WagogoUmasikini kaleta Nyerere na ccm