Ujomile musani!.
Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23.
Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar.
Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro.
Hebu...
Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake.
Watu wa mbeya hii inawahusu sana.
MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written.
Choose wisely.
Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.
Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.
Kivule Sokoni = Kila Jumanne
Kitunda = Kila Ijumaa
TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.
Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?
Yaani...
Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm)
Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo...
TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA
ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako
HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya
Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga
Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..!
USIBAKI NYUMA
Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari
kuhusu zoezi hili...
Shalom,
Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au kanga moko na kuacha chuchu au maziwa yakidamshi.
Eeh bana wewe kuna wake za watu wako vizuri kwa...
24 July 2024
ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu
https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024.
Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki.
Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake,
Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja.
Mhe. Mchengerwa ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.