NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33
Mikoa itakayoathirika...
Mwezi wa Sita Pwani ya mashariki na ya kusini mwa Tanzania lazima mvua inyeshe Kwa ajili ya maua hasa ya mikorosho na maembe pia mvua inasaidia kupunguza baridi ndo maana Jana maeneo ya Dar na Mtwara imeendelea kunyesha.
Nashindwa niandike kwa namna ipi ili ieleweke kwamba hakuna pesa za bure, vijana tufanye kazi hata kama ajira hakuna Ila tufanye kazi tu hizo hizo za windani umachinga .
Ipo hivi..
Pwani-mlandizi mtaa wa tanesco kalibu na idara ya maji pale (Mara yangu ya kwanza kufika),
QNET wamekodi nyumba...
Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi.
Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira.
Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali
Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022.
Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
Kutokana na sakata la mafuriko linaloendelea nchini tanzania mfano Manyara, Kagera pamoja na sehemu nyingine sijajua kama kamati za maafa zinajurikana na kwenye bajeti ya serikali sjui kama wanaweka kipaumbele kuhusu suala hili.
Tanzania kwenye preperation tukoje? au tunasblia maafa yatokee ndo...
Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19%
Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga Kizazi - 0.4%
Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania
Mara -...
Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime.
Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama
Biashara
1. Dar es Salaam
Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote.
Kwenye
Biashara ina points 9...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana.
Wajuzi
Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika
Pia, soma
Wana Kigoma embu jengeni kwenu
Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.