Habari zenu wadau!
Mwaka 2020 tulitangaziwa Tanzania kusajiliwa kuwa miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wamefikia kiwango cha Uchumi wa Kati wa chini yaani Lower Middle Income Country.
Hesabu hiyo huwa inazingatia GNI per Capita Income ambayo ina range Kati ya $1'036-$4,045 ,,ambapo kwa...
Kuna chama kinaitwa Chama Cha Walimu ni ugonjwa sugu unaotafuna walimu ambao wengi wao wamejikatia tamaa.
TAKUKURU kama kuna uchunguzi wa kina unatakiwa ufanyike ni katika Chama hiki cha walimu.Kuna biashara zinafanyika ambazo kama Takukuru wataingia, kuna kitu watashangaa.
TAKUKURU chunguzeni...
Habari zenu wana jamvi,
Katika siku za karibuni mtandao wa simu wa Airtel Tanzania unasumbua sana maeneo ya Dar es Salaam, Mkuranga, Kibiti, Rufiji hata Kilwa. Hili tatizo limewahi kujitokeza siku za nyuma lakini wenye mtandao wao wakakaa kimya kama vile hakijatokea kitu.
Nitaeleza siku ya...
Serikali imesimika mitambo ya kufua hewa tiba (oksijeni) katika hospitali za rufaa za mikoa saba Tanzania.
Kusimikwa kwa mitambo hiyo kunajibu changamoto za wataalamu wa afya ili kuwahudumia kwa ufanisi wagonjwa wa dharura na kupunguza gharama za uendeshaji wa hospitali hizo na kuwezesha...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi
Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021.
Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna watu usiku huu hawatalala ni Mainjinia wa Maji na wilaya katika mikoa mbalimbali nchini, kauli ya Rais, Mama Samia kuwahusu itawakosesha amani kabisa hasa kama kwenye maeneo yao ya kazi kuna miradi inasuasua. Joto lao wengi...
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Ee bhana hii issue mmoja yupo DSM mwingine yupo Dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja Dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba talaka.
Hii nimeona nishare hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.