Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni Mwanza, Geita, Tabora, Dodoma na Kagera. Mikoa iliyokuwa na dropouts wachache ni Rukwa, Songwe, Arusha, Kilimanjaro na Njombe.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni Mwanza, Geita, Tabora, Dodoma na Kagera. Mikoa iliyokuwa na dropouts wachache ni Rukwa, Songwe, Arusha, Kilimanjaro na Njombe.
Mkoa | Idadi | |
1 | Mwanza | 7630 |
2 | Geita | 7498 |
3 | Tabora | 7424 |
4 | Dodoma | 6913 |
5 | Kagera | 6618 |
6 | Tanga | 5069 |
7 | Simiyu | 4793 |
8 | Singida | 4748 |
9 | Mara | 4595 |
10 | Shinyanga | 4048 |
11 | Lindi | 3495 |
12 | Morogoro | 3356 |
13 | Mtwara | 3347 |
14 | Kigoma | 3262 |
15 | Dar es Salaam | 3154 |
16 | Ruvuma | 3029 |
17 | Manyara | 2688 |
18 | Katavi | 2505 |
19 | Pwani | 2351 |
20 | Iringa | 2322 |
21 | Mbeya | 2201 |
22 | Rukwa | 2193 |
23 | Songwe | 1935 |
24 | Arusha | 1765 |
25 | Kilimanjaro | 1675 |
26 | Njombe | 1495 |