Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini .
Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
Uongozi wa unalazimisha watu wafanye usajili ndio wapate room na Mfumo wa chuo haufanyi kazi hakuna control number za NHIF wengine malipo hayasomi kwenye mtandao.
Wanafunzi wameshalipia hela ya hostel ila chuo hskitaki kutoa vyumba Tukalale wapi. Ukizingatia tunashindwa kuksmilisha usajili kwa...
Habari ndugu wana JF.
Kuna video zimekua trend kwenye mitandao zinazohusiana na wanafunzi kuonesha vitendo vya upotevu wa nidham ya hali ya juu.
Ila je wewe mwana jamii forums ushajiuliza tatizo ni nini?
Naomba nitume ujumbe wangu huu kwa mama yetu na waziri husika Mh. Gwajima
Tatizo la...
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.
Tunaishi...
Ningependa kuwasilisha changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa stashahada (Diploma) katika Chuo cha DIT, hasa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Bachelor’s Degree). Changamoto hii haiwahusu wanafunzi wote, lakini nimebaini kuwa baadhi yao wameathirika na hali hii...
Anonymous
Thread
avn
changamoto
degree
diploma
dit
kujiunga
shahada
wanafunzi
Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS.
Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA?
Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini.
Wanafunzi hao wametakiwa...
1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026.
2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo.
Tunapouliza...
Anonymous
Thread
afya
diploma
fanya
matokeo
mwezi
ngazi
pili
vyuo
vyuo vya afya
wanafunziwanafunzi wa vyuo
Sisi wazazi wa wanafunzi wanaosoma kozi ya Technician Certificate in Library and Information Studies kwa mwaka wa masomo 2025/2026, tunasikitishwa na changamoto zinazowakabili watoto wetu kuhusu mitihani, tathmini za kozi na utoaji wa matokeo. Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili ili...
Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET
YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET
TAREHE: 20/10/2026
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
Naomba kuibua suala linalohusu hali ya Hosteli za Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambalo linaibua maswali kuhusu ubora wa mazingira ya makazi yanayotolewa kwa Wanafunzi.
Inasikitisha kuona kwamba hosteli inaweza kuwepo, lakini mazingira yake yakawa hayaridhishi. Kuwepo kwa jengo la...
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
elimu
elimu ya
elimu ya sekondari
iramba
iramba magharibi
jimbo
katika
kidato
kidato cha nne
kumaliza
magharibi
mbunge
mtihani
ofisi
sekondari
wanafunzi
Hii changamoto haipo ofisi za utawala mkuu pekee, bali hata utawala wa college yangu niliyokuwa nasoma ya ndaki ya sayasi asilia na hisabati (cnms)
Viongozi hawajibiki kwa wakati , calls na message zetu zinasomwa tu na hazifanyiwi kazi kwa wakati au pengine hazifanyiwi kazi kabisa na wakati...
Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi.
Chuo cha ushirika moshi MoCU kilichopo mkoa wa Kilimanjaro kina hali mbaya hasa maeneo ya malazi ambayo wanafunzi wanakaa, pia hata sehemu ya vyoo na bafu hazina ubora na pia ni hatarishi kwa...
Rais,
ameeleza,
Nanukuu,
"Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima.
Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie...
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
Uongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu .
Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu.
Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa...
Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia.
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.