Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.

Tunaishi na watoto hawa humu mitaani, Kila pembe ya nchi hii watoto wamezibuka vibaya. Vibaya mno. Haya yanayorushwa, kama dar, yapo Kila pembe.........kwanini clip zinazorushwa zinafanana?!!! Tafakari
 
HVph3gmWEAAEGiz.jpg

Ila haka katoto 🙌🙌🙌
 
Kwamba wote wamevaa hijabu ??
 
Hamna cha mkakati, watoto wamejirekodi na kuposti wao wenyewe wajitangaza kwamba wako tayari kuliwa kama wanaume walikuwa wanaogopa kifungo cha miaka 30 basi wametutoa kwenye hiyo shaka kwa ushaidi kabisa wa namba za mitihani
 
Hizi picha zinafurahisha na kupendeza ikiwa hao watoto sio wa kwako au huna nasaba nao!!

Kwa kweli huko mitaani suala la mmomonyoko wa maadili limefikia pabaya Sana...ukiwa mlezi, mzazi au hata mtu mwema unapatwa na huzuni juu ya matukio yanayoendelea huku mitaani!!

Haya yanayorushwa mitandaoni ni machache kati ya yale mengi yanayoendelea kila siku huku mitaani!!!

Lakini kwa mazingira niliyopo haya yanachangiwa sana na umasikini kwa kiwango kikubwa kwa matukio haya yamekuwa yakishamiri au kutokea kwenye maeneo yenye watu duni kiuchumi

Wazazi wanafukuzana na shughuli za kujipatia mkate wa kila siku kama unavyojua wanyonge wengi wetu tunatumia nguvu na miili yetu kujipatia ridhiki na tunatumia muda mrefu hivyo tunakosa muda wa kulea watoto badala yake tunawafuga kwa kuwapa chakula na malazi huku tukiacha jamii iwalee....jamii ambayo imeshaharibika matokeo yake ndio hayo!!

Kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana
 
View attachment 3700562
Ila haka katoto 🙌🙌🙌
Sheria ya kuwafunga wanaume miaka 30 jela sababu ya kutembea na vibinti inabidi irudiwe upya.

Nashangaa serikali inadili sana kuwafunga wanaume wanaooa/ wanaotembea na hivi vibinti, ila ni kama haiwaoni mashoga k.v kina anko t, James delicious na maudhui Yao ya kuipotosha jamii Xi Jinping
 
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.

Tunaishi na watoto hawa humu mitaani, Kila pembe ya nchi hii watoto wamezibuka vibaya. Vibaya mno. Haya yanayorushwa, kama dar, yapo Kila pembe.........kwanini clip zinazorushwa zinafanana?!!! Tafakari

Hamna mkakati wowote hapa,for so long wamekuwa wakinyamaziwa it time jamii ku highlight tatizo, tumefikaje hapa.
 
Sheria ya kuwafunga wanaume miaka 30 jela sababu ya kutembea na vibinti inabidi irudiwe upya.

Nashangaa serikali inadili sana kuwafunga wanaume wanaooa/ wanaotembea na hivi vibinti, ila ni kama haiwaoni mashoga k.v kina anko t, James delicious na maudhui Yao ya kuipotosha jamii Xi Jinping

Sheris zina mkandamiza mtoto wa kiume ila wa kike ahhhhh
 
Hizi picha zinafurahisha na kupendeza ikiwa hao watoto sio wa kwako au huna nasaba nao!!

Kwa kweli huko mitaani suala la mmomonyoko wa maadili limefikia pabaya Sana...ukiwa mlezi, mzazi au hata mtu mwema unapatwa na huzuni juu ya matukio yanayoendelea huku mitaani!!

Haya yanayorushwa mitandaoni ni machache kati ya yale mengi yanayoendelea kila siku huku mitaani!!!

Lakini kwa mazingira niliyopo haya yanachangiwa sana na umasikini kwa kiwango kikubwa kwa matukio haya yamekuwa yakishamiri au kutokea kwenye maeneo yenye watu duni kiuchumi

Wazazi wanafukuzana na shughuli za kujipatia mkate wa kila siku kama unavyojua wanyonge wengi wetu tunatumia nguvu na miili yetu kujipatia ridhiki na tunatumia muda mrefu hivyo tunakosa muda wa kulea watoto badala yake tunawafuga kwa kuwapa chakula na malazi huku tukiacha jamii iwalee....jamii ambayo imeshaharibika matokeo yake ndio hayo!!

Kwa kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana
Inasikitisha kwa kweli
 
Umesema yote sheikh
 
Nivile tu tunajisahaulisha au kwa vile haya mambo yamekua hadharan sana hii miyeyusho imekuapo miaka yote tumefanya chenga kubwa zaid ya hiz wakat wakumaliza shule ikiwemo kutandika walimu ni vile tu hakukua na kamera na social media
Ila hii qgenda kwa sasa inapushiwa sana as mind control kupoteza watu maboya juu ya mambo flan ya maana sana
 
Iwe kimkakati usiwe kimkakati.. ila deep down Kuna kundi fulani linafaidika sana na uwepo wa aina hii ya watu katika jamii...
Tena wawe wengi ili viti vyao viwe salama
Basi kundi hilo kitakuwa halijielewi maana kiukweli baada ya miaka 20/30 hivi ijayo, sijui kama Kuna mtu atatamani kuwa na kiti maana hakuna kitakachoeleweka......utawaambia nini' hawa kwa mfano?!!!! Utapanga utaratibu gani wa kuelewa hawa?!!!
 
Back
Top Bottom