Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

hakuna mkakati wowote

sema media za bongo, blog uchwara ndio chanzo cha haya

wanatembea na upepo hivyo hawatak jambo liwapite, ndio maana zinazagaa sana.
 
Nivile tu tunajisahaulisha au kwa vile haya mambo yamekua hadharan sana hii miyeyusho imekuapo miaka yote tumefanya chenga kubwa zaid ya hiz wakat wakumaliza shule ikiwemo kutandika walimu ni vile tu hakukua na kamera na social media
Ila hii qgenda kwa sasa inapushiwa sana as mind control kupoteza watu maboya juu ya mambo flan ya maana sana
Uovu na ubaya ulikuwepo hata zama za mitume na manabii...... isipokuwa kinacholalamikiwa ni kukithiri kwa hayo mabaya na maovu katika hali ambayo inatia shaka na hofu!!!

Miaka ya nyuma watu WAOVU pia walikuwapo lakini walikuwa na haya nyusoni mwao...hawakuwa wakijinadi kwa mabaya yao lakini miaka imekwa dhahiri shahiri watu wanafanya mabaya lakini tu sio kufanya bali wanajinadi kwa mabaya!!

Labda kama wewe ni mtoto wa "2000" lakini utakuwa kidogo una muda mrefu hapa duniani bila hata ya kupepesa macho kipimo chako cha uovu na utovu wa nidhamu kwenye jamii iliyokuzunguka ukilinganisha na sasa hivi bila shaka kuna utofauti mkubwa otherwise uwe ulikulia maeneo kama yenye historia ya uovu na utovu wa nidhamu tangu nyakati na nyakati
 
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.

Tunaishi na watoto hawa humu mitaani, Kila pembe ya nchi hii watoto wamezibuka vibaya. Vibaya mno. Haya yanayorushwa, kama dar, yapo Kila pembe.........kwanini clip zinazorushwa zinafanana?!!! Tafakari
Utakua mgeni wa mitandao wewe
Kizazi cha tiktok iko unazani ni bahati mbaya hizo video zimekuja? Nenda ukajionee Live kwenye huo mtandao wao pendwa zimejaa tele wenyewe wanaita #challenge
 
Inasikitisha kwa kweli
Ukiwa kama mzazi au mlezi na una viumbe unawasimamia kwenye dunia hii ndio utaelewa zaidi ubaya wa haya yanayoendelea kwenye jamii!!!

Kila ukiutazama ulimwengu na walimwengu na matendo yao kwenye mgongo wa ardhi ndio unazidi kuwa na masikitiko kuwa siku moja nitaondoka kwenye ulimwengu huu na nitawaacha wanangu au wategemezi wangu wakiishi na hawa hawa viumbe waliojaa uovu unazidi kupata hudhuni nafsini mwako!!!!

Hali ni mbaya sanaa
 
Ukiwa kama mzazi au mlezi muombe sana mola wako akupe maisha marefu ili uwaangalie watoto hadi wafikie umri wa kulisimamia na kujitetea dhidi ya walimwengu waliojaa uovu na maovu ya kila aina!!!

Hakuna kitu kinachoniuma kama kuona mzazi au mlezi anaiaga dunia hii huku nyuma yake akiwaacha watoto au wategemezi wake wakiwa hawajielewi kwa lolote wakiwa katika mikono ya walimwengu waliojaa uovu na roho mbaya!!
20250115_053755.jpg
 
Back
Top Bottom