Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma hizi ni za kweli?
Kwanini unalazimisha Maridhiano, ina maana unapinga maamuzi ya Baraza Kuu na Kamati kuu?
Hukuhudhuria kwenye msiba wa dereva wa...
Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa...
Labda wale wenye rika la...
Mimi ni mvuvu wa kuandika. Nitaandika kwa kifupi sana lakini nadhani utanielewa.
Kuna mambo matatu hapa lazima tuyajue ili ikiwezekana hayo mambo yawe keys za kupata fedha na kuishi katika uhuru wa kifedha.
Jambo la 1: Pesa ni nini?
Jambo la 2: shetani ni nani?
Jambo la 3: Je, pesa zote halali...
Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa.
Tunaishi...
Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.
Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa...
Tanzania tunajumbatia vitu vya kipumbavu sana matokeo yake ndo haya sana.
1. Roll model ni wasanii hadi.wanaalikwa kuwa wageni rasmi kwenye graduations.
2. Mpira wa Simba na Yanga ndiyo kipaumbele cha wanasiasa kuwapumbaza watu ujinga.mtu.
3..Wanasiasa wenyewe hawasomwshi watoto wao katika...
Alafu ikukute wewe ni masikini , aisee utachapiwa nyumba nzima, mke, mtoto wako mwenye divsheni 4, mdogo wa mke wako,etc unakuta hadi boda boda wamewatungia majina tayari maana wamegawana familia yako😁, utasikia binti yako anaitwa "aisha sarakasi"
Aisee
Eli Cohen
secretarybird
Kinyungu
Harmful
Zamsni nilijua ni JWTZ ndio kuna kozi za makomando
Kumbe mpaka polisi wapo. Hii ni baada ya kuona hii picha, FFU ana bawa kifuani kama ya makomando wa JW
"Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!"
"Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
kulingana na bajeti yangu nimeona naweza pata hizo compact suv mwaka 2015 mpaka 2017! Sasa nimejaribu kusoma soma mitandaoni naona nazidi kuchanganyikiwa!
Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu kati ya hizi gari naomba mawazo yenu nisije nikajichanganya.
Natanguliza shukrani!
Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia.
Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
1. Kujifanya unajua kila kitu: Hata ukiulizwa kuhusu fizikia ya anga za mbali au teknolojia ya kurusha roketi, Mbongo atakupa maelezo kwa kujiamini kabisa kana kwamba alisoma naye!
2. Kuambiwa kitu usichokijua na kuamua kutunga uongo: Badala ya kusema "Sijui" au "Sifahamu", atatunga uongo wa...
Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora 🤔
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka...
Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu.
Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa.
1. Dereva boda boda mashughuri...
Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi.
Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe.
Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.