Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki
Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁
Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya...
hizi zinaitwa chastity belts
ni za medivial period (zama za Kati)
zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke
lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa madhumuni yake makuu yalikuwa kuwakinga wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na safari...
Kwema wandugu?
Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara yule jamaa aliupiga mwingi (yule wa kuachwa) ndio katika kupita huko X nimakutana na clip.
Hapa...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
Wakuu heri ya jumapili.
Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi.
Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga wakinipa stories mbili tatu za michezo na wanamichezo. nikashangaa kuwa kuna mchezaji ambaye anachezea...
Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc)
Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa.
Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
Utupu umekuwa glorified
Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu.
Akiingia kwenye simu yako anaona ni jinsi gani mwanamke aliekaa kimalaya malaya anavyokuwa entitled katika jamii zaidi ya...
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum...
Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa.
Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse.
Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula this is curse .
Ukipata hela haukumbuki kufanya maendeleo this is curse .
Una miaka mingi Ila akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.