Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia...
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi.
Ngoja niwape mifano yangu muone:
1. Gear Knobs za kuongeza kama Sauti
Hizi nimeona kwenye Disco...
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na...
Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii.
Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
Salaam, Shalom!!
Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.
Amedai pesa za kuandaa mikutano ndani ya chama imekuwa ikipatikana Kwa taabu, lakini Cha kushangaza, katika...
Asalaam Aleykum.
Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.