Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe.
Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️
1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊
2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️
3. Furaha si kuhusu kuwa...
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa...
Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi.
Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa??
Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu.
Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee.
Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)
Kuna Mapepo ya UHARIBIFU...
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa .
Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni
Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi.
Karibuni wenye ueledi juu ya hili
1. BABY'S DAY OUT
Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake.
Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔
1.Wanaume/wanawake wote hawafai.
2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji.
3.Nawachukia sana wanaume/wanawake
4.Hata wewe ni wale wale tu.
5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume.
KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu?
Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
Nyakati huja na nyakati hupita
Na nyakati ambazo huja na kupita, zingine huja kwa namna yake na changamoto zake, na zinapokuja, huja ili zibadilishe kitu na ama kuharibu kabisa,
Kikawaida, Ni mjinga tu ambaye hudhani Dunia haina Changamoto na kwamba anaweza kukaa maisha yake yote bila kupitia...
Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB.
Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu.
Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa...
Wakuu,,
Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba waliondoka TBC FM kwa kusema Wanaacha kazi Badala ya kusema kuwa wanahama kutoka TBC FM (zamani) kwenda...
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine.
Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.