Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Vipi wananzengo…
Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
Alafu wanakula kishenzi yaani wanamaliza mb zinaruka balaaVipi wananzengo…
Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
Sio voda tu HALOTEL ndio hapatoshiVipi wananzengo…
Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
Sasa ndio umeandika nini? Lowasa alikuwa mbele ya muda, elimu, elimu, elimu.Musipo jiongeza mutakufa vibaya...... Hichi kipindi sio kipindi salama sana serikali ya mabepari hii shtukeni Kuna kanamna fulani....... Au basi
Sasa na Wew umesoma kwanini???Sasa ndio umeandika nini? Lowasa alikuwa mbele ya muda, elimu, elimu, elimu.