Hicho ni cheo cha upendeleo bwashee
Hahaha now nimeachaAhaha😃😃😃 nitaongeza kipengele cha kupiga bia baada ya mechi....kwa heshima yako
🤣🤣🤣Kwa jinsi nchi ilivyo nampa dosho12 awe rais na Muimba SINGELI waziri mkuu
Mwachiluwi waziri wa michezo na Sanaa
Dr am 4 real PhD waziri wa mambo ya nje
Ertugrul Bey mshauri wa rais
Mbaga Jr igp
Binti wa zamani speaker wa bunge
Hapo maendeleo ni pie
Halafu me natokea pembeni kama winga
Duh ningeweka pingamizi juu ya hili ila sisi wote ni dugu ya familia moya.Ndio maana nikasema natokea pembeni akipiga Bei me maisha ni murua 😂😂😂
Au tuanzishe chama chetu Cha siasa 😂Duh ningeweka pingamizi juu ya hili ila sisi wote ni dugu ya familia moya.
Hapo kwny uspika hoja zenu lazima nizipitie kabla hamjaongea...1.RAIS. adriz
2: WAZIRI MKUU Pascal Mayalla
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO Waufukweni
4: SPEAKER WA BUNGE Kalpana
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO Intelligent businessman
6: WAZIRI WA MAMBO YA NJE Maghayo Shadeeya
7: IGP GENTAMYCINE
8: WAZIRI WA FEDHA Selikavu
9: MSHAURI WA RAIS Shadeeya
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII secretarybird
Aweeee wa kwetu...good news...🤭🤭Hahaha now nimeacha
🤣🤣🤣 kwa malengo yapi baada ya kushika dola?Au tuanzishe chama chetu Cha siasa 😂
Tunahakikisha kamba zinasambazwa kwa kila mtu😁😁😁Kwa serikali hii hii ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake?