Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Unafaa madaraka maana tuna mpango kabambe ๐๐๐Una akili kijana utafika mbali ๐๐๐, Muimba SINGELI
Unafaa madaraka maana tuna mpango kabambe ๐๐๐Una akili kijana utafika mbali ๐๐๐, Muimba SINGELI
Sitaki miaka mingi wanipe mitano tu inanitosha ๐ ๐Unafaa madaraka maana tuna mpango kabambe ๐๐๐
Jambo letu hata miaka 2 inatosha hiyo mi3 itakayobaki ni yakuombea msamaha wananchi ๐๐๐Sitaki miaka mingi wanipe mitano tu inanitosha ๐ ๐
Hata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo!
Hili taahira si litamaliza watu hill? Bora hata achukue Tlaahtlaaah!Igp nampa GENTAMYCINE
Hii imeenda ndugu yangu kiukweli hapo kazi itafanyika.1.RAIS. adriz
2: WAZIRI MKUU Pascal Mayalla
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO Waufukweni
4: SPEAKER WA BUNGE Kalpana
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO Intelligent businessman
6: WAZIRI WA MAMBO YA NJE Maghayo Shadeeya
7: IGP GENTAMYCINE
8: WAZIRI WA FEDHA Selikavu
9: MSHAURI WA RAIS Shadeeya
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII secretarybird