Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Thubuuuutu, mwenye shibe huwa hamkumbuki mwenye njaaTunahakikisha kamba zinasambazwa kwa kila mtu😁😁😁
Thubuuuutu, mwenye shibe huwa hamkumbuki mwenye njaaTunahakikisha kamba zinasambazwa kwa kila mtu😁😁😁
Mkuu wa TISS nampa britaniccaHapo kwny uspika hoja zenu lazima nizipitie kabla hamjaongea...
Huu utakuwa uongozi wa kwanza wa mfano...😅😅Thubuuuutu, mwenye shibe huwa hamkumbuki mwenye njaa
Acha Uoooongozi instituteHuu utakuwa uongozi wa kwanza wa mfano...😅😅
Uraisi wa chama Cha ma jobless pro max una nitosha mkuu, uki zingatia mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa.1.RAIS. adriz
2: WAZIRI MKUU Pascal Mayalla
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO Waufukweni
4: SPEAKER WA BUNGE Kalpana
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO Intelligent businessman
6: WAZIRI WA MAMBO YA NJE Maghayo Shadeeya
7: IGP GENTAMYCINE
8: WAZIRI WA FEDHA Selikavu
9: MSHAURI WA RAIS Shadeeya
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII secretarybird
Dogo Kataa ndoa imeshakufa sasa wamepoa kabla sijaanza battle nao , kwenye Majobeless hautufai nakukataa Mimi na simama na Muimba SINGELI , anatosha kutoongoza Majobeless kutufikisha nchi ya ahadiUraisi wa chama Cha ma jobless pro max una nitosha mkuu, uki zingatia mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa.
👊👊👊Dogo Kataa ndoa imeshakufa sasa wamepoa kabla sijaanza battle nao , kwenye Majobeless hautufai nakukataa Mimi na simama na Muimba SINGELI , anatosha kutoongoza Majobeless kutufikisha nchi ya ahadi
Mkuu tuweke malengo hapa mbele za watu kweli utaki tutoboe au 😂😂😂🤣🤣🤣 kwa malengo yapi baada ya kushika dola?
Sawa itanipanga mkuu, nilisahau kwamba hivi ni vitu vya ki protocolMkuu tuweke malengo hapa mbele za watu kweli utaki tutoboe au 😂😂😂
Duh leo ume lewa, acha niendelee na gladiator hapaDogo Kataa ndoa imeshakufa sasa wamepoa kabla sijaanza battle nao , kwenye Majobeless hautufai nakukataa Mimi na simama na Muimba SINGELI , anatosha kutoongoza Majobeless kutufikisha nchi ya ahadi
Shukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.Igp nampa GENTAMYCINE
Shukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.Rais Dennis Robert Shughuru
Waziri mkuu Lucas Mwashambwa
Waziri wa habari Tlaatlaah
Spika ChoiceVariable
Waziri wa michezo GENTAMYCINE
Mkuu wa TISS USSR
IGP Magonjwa Mtambuka
Waziri wa fedha MamaSamia2025
Mshauri wa rais Lizaboni
Waziri wa maendeleo ya jamii Mamndenyi
Shukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.1.RAIS. adriz
2: WAZIRI MKUU Pascal Mayalla
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO Waufukweni
4: SPEAKER WA BUNGE Kalpana
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO Intelligent businessman
6: WAZIRI WA MAMBO YA NJE Maghayo Shadeeya
7: IGP GENTAMYCINE
8: WAZIRI WA FEDHA Selikavu
9: MSHAURI WA RAIS Shadeeya
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII secretarybird
Charismatic fellaShukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.
Haters mpo.........Kudadadeki zenu....!!!! Mtanuna sana mwaka huu.
Yeah ndiyo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na hakuna wala hakutawahi kutokea mwingine hapa JamiiForums milele.Charismatic fella
Shukran pamoja sana mkuu , tena uIlibidi uwe kitengo cha mkuu wa usalama kutokana na uwezo wako mkubwa wa kunusa hatari , mikakati ya chini na kukomesha wahuni kiroho mbaya ila hapo halipo.Shukran Mkuu. Ukiona JF Member unawaziwa hivi na Great Thinkers tena wa JamiiForums jua kuna Kitu kizuri ulichobarikiwa na Mungu wamekiona.
Haters mpo.........Kudadadeki zenu....!!!! Mtanuna sana mwaka huu.
Una akili kijana utafika mbali 😁😎😎, Muimba SINGELIKwa jinsi nchi ilivyo nampa dosho12 awe rais na Muimba SINGELI waziri mkuu
Mwachiluwi waziri wa michezo na Sanaa
Dr am 4 real PhD waziri wa mambo ya nje
Ertugrul Bey mshauri wa rais
Mbaga Jr igp
Binti wa zamani speaker wa bunge
Na waziri wa fedha secretarybird
Hapo maendeleo ni pie
Halafu me natokea pembeni kama winga