McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee.
Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu.
Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani
Mimi nimekumbuka hizi chache
Kuna ingine nimeisahau wakuu?

- Komasava - Diamond Platnumz
- Tetema- Rayvanny
- Single Again - Harmonize
- Kautaka - Jaivah
- My Number One - Diamond Platnumz
- Sukari - Zuchu
- Commando - Mavokali
- Aje - Ali Kiba
Kuna ingine nimeisahau wakuu?