nyimbo

  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

    Msaada gharama ya kulipia kutambulisha nyimbo wasafi FM, clouds, crown na EATV au kama Kuna mdao anaweza nishika mkono tafadhali. Ngoma ni ya moto wakuu msaada PLIZ Sito kosa show hata ya kudumduliza wakuu
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

    Habari zenu guyz🤣🤣🤣🇹🇿 Bhana leo nilikua naenda studio nashukuru mungu Kila kitu kimeenda sawa sasa kilicho Baki ni video shooting panapo majariwa jmosi naanza video shooting. Aseee kwenye kitu kilicho nipa furaha leo ni pale nilipo kua narekodi asee nimeimba kwa hisia sana. Nyimbo yangu hii...
  3. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyimbo yangu, tayoitambulisha karibuni nme muimba chivayo , je hicho kipande nikifute

    Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao. Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo" Nilimuimba kidogo sana, asee...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, Wakatoliki Kuimba na kucheza nyimbo za Walokole ni dhambi?

    Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu. Kanisa Katoliki linakataza kusikiliza au kuimba nyimbo za Wakristo wengine mradi tu mashairi yake hayaendi kinyume na imani na...
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Trump ni "Shakara" Nyimbo ya Fela Kuti

    https://youtu.be/4kZwTnK3aWA?si=9XYD5qppRfqb7zxl
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nyimbo za miaka ya nyuma lowkey zinakosha sana

    Kama ukichoka kusikiliza nyimbo mpya jaribu kukisikiliza nyimbo za Bongo Flava za kitambo. Zinabring the same vibe + nostalgia Music is one of the best human inventions Madee ft Tundaman- Pesa https://youtu.be/fsukuAcjyqU?si=x-xGmLmwxYonMSN5
  10. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Ndugu wana jamvi wakati ule wa miaka ya 1996 mpaka 2000, enzi zile tunasikiliza nyimbo zikiwa kwenye kanda, pale nyumbani mzee alikuwa na kanda moja ya tot ya mh Komba na wenzie, japo nilikuwa mdogo sana ila nilikuwa nakichwa cha kukariri baadhi ya nyimbo kama vile, muongo mbea anaua, na...
  11. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nyimbo Kali za truba Tanzania

    Mwenye nyimbo ya MADENI ya msanii truba Tanzania nimeitafuta mpaka nimekosa
  13. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wakristo, App yenye biblia,Tenzi za rohoni na Nyimbo za Wokovu pamoja

    Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Historia ya Rajani Marijabu a.k.a Jabali la Muziki na kumbukumbu ya nyimbo zake.

    Marijani Rajabu alikuwa mmoja wa wanamuziki wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika historia ya muziki wa dansi nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 3 Machi 1955, Kariakoo, Dar es Salaam, katika familia ya kawaida. Baba yake alikuwa akifanya kazi ya uchapishaji, huku mama yake akiwa mama wa...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba: Nilipiga marufuku nyimbo za kuwatishia wapinzani kupigwa TBC

    Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026. Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama zile, wapinzani hawa tuwachinje chinje, tuwakishe kete, sitaki kusikia wimbo wa aina hiyo TBC. Kwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern 🙏🙏
  17. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hii youtube

    Sijui jina. Inaimbwa hivi. Inapofika mwisho wa mwezi kasimu huonekani... Ni nyimbo inayomzungumzia kasimu Kila akipata mshahara. Akifika mwisho wa mwezi anapotea. Hasa has alivyopata kazi. Ni zilipendwa
  18. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Nitapataje nyimbo za katitu

    Wakuu kuna hizi nyimbo zenye asili ya kenya maarufu kama katitu Nina shida nazo nilikuwa nazisikia zamani lakini saivi sizikii tena mbaya zaidi hamna hata moja nayokumbuka nazipataje je mtandaoni zipo kweli
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Top 20 ya muda wote ya nyimbo kali za kiafrika hii hapa.

    Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg 3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Yaani watu wamekutunza jukwaani kwasababu umewakosha kwa nyimbo au stalii za kudensi Sasa hizo pesa ukizitumia ni ufisadi?

    Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi? Kumbuka...
Back
Top Bottom