nyimbo

  1. kajamaa kadogo

    Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  2. Waufukweni

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  3. Mr Why

    Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  4. U

    Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO...
  6. Charlez kanumba

    Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  7. Gulio Tanzania

    Nyimbo za Boaz Danken zinanibariki sana

    Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini. Mimi mkristo nasikiliza nyimbo nyingi kila siku zinanibariki ila kwa sasa huyu kijana Boaz Danken nimekuja kugundua nyimbo zake...
  8. TheForgotten Genious

    Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  9. B

    Je umelala huku una sikiliza nyimbo gani muda huu

    Mida ya kupumzika na kutuliza akili hizi ndo nyimbo pendwa 1."sacrifice by Elton John 2."Sexual healing" Marvin gaye 3."kenny G " forever I love 4 "Joe ".i believe in you 5. "Ruben studdard" I need an angel Nipo na sikiliza Goma la Bob marley Goma linaitwa "three little birds Anaimba...
  10. U

    Marioo asema nyimbo zake zote ni hit. Je, ni kweli ana hit nyingi kuliko Diamond, Harmonize, Rayvany, au Mbosso?

    Asalaaam wanajamvini. Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii. Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote alizotoa ni hit, na ni kweli sipingani na Hilo, hata Maromboso pia nyimbo zake alizotoa official zote ni...
  11. B

    Unaposikia nyimbo ya nguva viking na papii kocha unakumbuka wapi "seya" ?

    Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi. Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi "ilikua ikifika siku za siku kuuu" Kuna ule mstari. Anakwambia "Ata mvua ikinyesha Leo seya lazima tutoke leo"...
  12. Lavit

    Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

    Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa! Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe...
  13. Uwesutanzania

    Nyimbo kali za vijana wa Kitanzania, vijana ambao hawajapata BAHATI ya kutoboa (underground

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA, Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono. Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha kuimba na hausikilizwi,. Lete nyimbo yako katika coment ambatanisha na namba yako ya simu. Au hata...
  14. Organic Live Food

    Nyimbo ya Tabasam by mr blue ft steve na q chief

    wakuu natafuta nyimbo ya mr blue ile tabasam yenye version ya Q chief. Kila nnayoona kipande cha Q chief kimeondolewa. Mwenye nayo tafadhali. Mim kijana wa zamani nikumbukie enzi yetu
  15. Magical power

    Nyimbo yangu special kwa Jamii Forums

    Kuna wanangu nimewalusha umu one love Sisi n ndugu ama vip wadau wangu,ambao sijawataja mtanisamee Bure mana sija yakalili majina yenu vyema ila tupo pamoja🙏🏽
  16. Kermion

    Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

    Hello wakuu. Ningeomba kufahamu, ni nyimbo gani zinaweza kua identified kua hizi ni za asili halisi ya Kitanzania, yaani Bongo-Flava. Maana kwa wingi muziki wetu wa nyumbani umekua influenced na miondoko ya nje, tofauti ikiwa tu ni lugha ndio Kiswahili. Sasa, kwa wale wadau wa haya mambo...
  17. Mejasoko

    Nyimbo ya Mikasi ya Ngwair iliandikwa kwa akili nyingi sana

    Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...
  18. Yoda

    Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  19. Yoda

    Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  20. Damaso

    Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
Back
Top Bottom