Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki.
Tofautisha kati ya...
Wakati nipo shule ya msingi miaka iliyopita nilichaguliwa kushiriki paredi na kuimbisha nyimbo kwenye paredi hiyo, nakumbuka mpaka leo nyimbo zile, nyingi zilikuwa za kumpigia chapuo Rais fulani kwani ilikuwa karibu na uchaguzi japo nimekuja kutambua shughuli ile vizuri baad ya kukua, kw wakati...
Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!??
Binafsi huwa narudisha
Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
MAKOMA
Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani.
Makoma iliundwa na:
Nathalie Makoma
Annie Makoma
Pengani Makoma
Tutala Makoma
Duma Makoma
Martin...
Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha,
Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje?
Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya!
Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje?
Nauliza je wamepost hata kutoa...
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.
Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.
Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu.
Marehemu alikuwa...
Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
1. Changes ya Tupac
https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH
Origina yake
https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku
2. Forever Young ya Jay Z
https://youtu.be/Kzq15y2J4UM?si=JQi1v7F_i7B7gYTF
Original yake
https://youtu.be/t1TcDHrkQYg?si=bwgTEt655tTKDUq0
3. Toy Soildiers Eminem...
NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE
Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza kunyamaza.
Wasikilizaji wanawake nao wakalia.
Ikhwan Safaa wapigaji orchestra iliendelea kupiga ala kwa...
SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA"
Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho.
Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani?
Nimeingia Maktaba kwenye kitabu, "Self Reliant TANZANIA," kilichohaririwa na Knud Erik Svendsen na Merete Teisen kuwatafuta...
Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki
Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie
Napendelea zaidi...
Jf wasaalam 🙏
Sina hakika Wala kumbukumbu kama huyu msanii mzungu anayeimba nyimbo za kisukuma Kwa ufasaha alishawahi ongelewa humu. Kama Bado soma hapa.
Anaitwa Manongu mzaliwa wa Sweden, amezaliwa huko na kukulia huko.
Alipata nafasi ya kutembela Tanzania kama mtalii. Alipenda sana Tamaduni...
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi.
Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini.
Wimbo
Bwana ndie mchungaji wangu mimi
Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu
Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.