nyimbo

  1. Eli Cohen

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  2. Balqior

    Kwanini wanamuziki wengi wa Marekani hawatoi nyimbo zenye maneno matamu ya mapenzi kama ilivokuwa miaka ya 1980's?

    Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
  3. mr pipa

    Hii ngoma ya The Mafik - Wadudi bonge moja la wimbo

    Mr pipa sijawahi rudia nyimbo moja Mara 5 Mimi nikipakua nyimbo nasikilizaga mara mbili ya tatu nafuta ila huu mkwaju wa hawa jamaa mpaka sasa nimei play Mara 78 Asee hii bonge moja la pini popote mlipo the mafik kwa ngoma hiyi kama hamjatoa video njoo pm nusu ya pesa ya shotting natoa Mimi...
  4. Andazi

    Shetani pia hucheza nyimbo za injili

    Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
  5. dr namugari

    Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  6. Uwesutanzania

    Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

    Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi. Yaani...
  7. THE BEEKEEPER

    Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
  8. ndege JOHN

    Viongozi wa dini wanashindwa kuwashauri viongozi wazuie nyimbo zenye matusi

    Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili. Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
  9. Dr Matola PhD

    Swali kwa vijana wa kisasa, hizi nyimbo zinazopigwa na Madj wa kisasa ni kweli mnazipenda au mnafuata mkumbo?

    Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu. Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi Kwa mtu...
  10. A

    Msechu kutungiwa nyimbo punde!

    Katika kuendeleza tasnia na kumpongeza Kwa mafanikio katika fani wasanii nchini, wamepanga kumtungia wimbo maalum Msanii mwenzao Msechu, P. Heko Bongo Celebrities
  11. Meneja Wa Makampuni

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza. Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako. Piga hii namba...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

    Mwk 1977 nyimbo 7 *Selemani *Sakina *Aziza *Dada nalia *Dawa ya mapenzi *Azimio la Arusha *Benk ya biashara Mwk 1978 nyimbo 6 *Mwana acha wizi: Mabera *Mpenzi Zalina: Bitchuka *Ccm: Mwanyiro *Nidhamu ya kazi: Bitchuka *Vijana tujitokeze: *Mariamu: Mabruk Khalfani Mwk 1979 nyimbo 5 *Uzuri si...
  13. Rayvanny wa jamiiForums

    Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

    Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
  14. LA7

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  15. LA7

    Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
  17. DR HAYA LAND

    2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  18. Akili ya kubeti

    Mwenye kujua hii nyimbo inaitwaje anisaidie

  19. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Video vixen wa mapozi anaitwa Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya. Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki. Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
  20. U

    Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
Back
Top Bottom