1. Zanzibar ya Harmonize.
Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
Siku kadhaa zilizopita msanii "Harmonize" alisema ijumaa hii kwa maana ya kesho anaachia wimbo wake wa "I made it"
Na wakati huohuo Diamond usiku wa leo saa sita,ambao kimsingi ni tarehe ya kesho anaachia wimbo mpya alioshirikiana na Mr Blue.
Hii ni Habari njema kwa wapenda mziki mzuri, ngoja...
Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana.
Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile
1)Dynamite ya taio Cruz
2)International love ya pitbull ft Chris brown
3)Coconut tree ya mohombi
4)Bumpy ride ya mohombi
5)Moves like jagger ya maroon
6)On the floor ya Jenifer Lopez
7)Dj got us fall in love again ya usher...
Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake.
Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi…
Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako.
Warning!!
zingatia...
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba:
1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??
Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
PETER COLMORE, MWENDA JEAN BOSCO NA EDUARDO MASSENGO, KENYA 1959
https://youtu.be/1LH7T6hbKto?si=j8ZNHvlOpbzEOdX4
Majina haya matatu: Peter Colmore, Eduardo Masengo na Mwenda Jean Bosco yana sehemu maalum katika maisha yangu.
Nilianza kumsikia Mwenda Jean Bosco, Eduardo Masengo kisha Peter...
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki.
Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa roho wasafi na roho wachafu. Ndio maana miziki ya ibada ikipigwa kwa utukufu malaika hushuka na pepo...
Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.
Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.
Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk...
Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao
Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...
https://youtu.be/lAXIQChY8ek?si=0xWTkU2Pigyeqezs
Unakula nini ili nami nifurahi
https://youtu.be/8-Sjs6RBp1c?si=4_5IpGl_vsk7Dh9P
Nipigie
https://youtu.be/kUf3HL9SZa0?si=hWIYUzA71H2dfkvq
Kwa ajili yako
https://youtu.be/8eyAeqkV2gg?si=qf6VNcnWsnBkLhqz
Pipi je na wewe ulipenda zipi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.