Wakuu GT
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa bahati mbaya hiyo CD imevunjwa na watoto na sina copy nyingine.
Kwa yeyote anayemfahamu huyu dada...
Wadau wa jamii forum, Heri ya sikukuu ya Simba Day. Leo nimeamka na mzuka wa kumsikiliza Jabari la muziki.
Naomba kama unao wimbo wowote wa Marijani basi uniwekee hapa. Nitafurahi nilipata
-Namsaka mbaya wangu
-Mzee hamis
-Mwana Acha kidomodomo
Na nyingine nyingine nyingi
Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam.
Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo.
Hizi dini zingine...
Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi;
1. I'm a thug ya Trick Daddy
2. I can ya Nas
3. Fabulous ya Jaheim
4. Nyimbo fulani ya Michael Jackson nimeisahau jina.
Tafadhali tupieni nyingine..........
1. Liberation
2. Serge Palmi
Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music.
Na Utamu zaidi wa hizi...
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote.
Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
Amani iwe juu yenu wana wa Mungu.
Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi.
Papi Clever na Dorcas ni wanandoa, Merci Pianist ni mtaalam wa kupiga kinanda kwa kiwango kikubwa sana.
Mimi ni muumini wa nyimbo za...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi.
Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa.
Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli.
Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya.
Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne.
Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa.
Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika chini ya lebo maarufu ya WCB Wasafi.
Hivi majuzi, Rayvanny alitoa video ya muziki ya kuvutia ya...
Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu.
Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana..
1- Ushoga
2- Umalaya na Kuuza Miili
3-...
Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako.
Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu?
Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya.
Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
Nyimbo tulizojufunza majeshini mafunzoni na kwenye mchakamchaka.
1. Baku babakubaba siitikii.
2. Inkalankala inka.
3. Nasoro unantafuta.
4. Impiizaaa.
Ongezea nyingine
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja.
Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏
Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.