Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile.
Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
Morng Africa. Mimi ninyimbo zangu bora kabisa ni hizi
1) Moyo wangu umekuambia
2) Nalisema nitayakili maasi yangu kwa bwana
3) Fahari yetu ni msalaba
4) Ikatoka damu ikatoka maji pia
5) Mama pale msalabani
6) Utambi mchafu wa moshi mzito
7) Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu
Je, wewe zako zipi
Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo.
Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye:
Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album...
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi.
Kauli...
Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo.
1. Maria Salome -Saida Karoli.
2. Starehe & Kamanda- Ferouz.
3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando...
Can't Be With You Tonight
You Caught My Eye
That Night We Met
Dreaming of a Little Island
Turn Back the Time
Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa...
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.
Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea...
Salaam kwenu wana MUNGU,
Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani.
Naisikiliza tena na tena, tena na tena, nyimbo inaujumbe mahsusi hii.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini muziki nikiusikilizia Bar huwa ni mtamu zaidi ya kusikilizia nyumbani? Nyumbani nina Home Theatre nzuri ya Sony niliyonunua Dirham 1200 kule Deira, Dubai lakini huwa naona haitoi muziki mtamu kama ule wa Bar. Hata kinywaji cha Bar nadhani huwa ni kitamu kuliko...
Unaweza hisi anatania ukweli unauma. Padre mmoja leo amekumbusha watu.
Mmekuwa waguumu kuimba misibani, najua hizi nyimbo hatuimbi mara kwa mara, kwakuwa ziko vitabuni na mnazijua muwe mnajikumbusha kuimba na familia mkija msianze kuangaliana.
Msisubiri ufikwe na msiba, hapa watu 2kagunaa...
Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia masikioni mwako.
Zangu ni hizi;
1. Patoraking alongside Dimond- Kolokolo
2. Oh Ma lay- Godly
3. Asake -...
Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
1- taylor swift anti hero
2- mbosso huyu hapa
3- SZA nobody gets me
4- kizz daniel cough
5- Drake ft 21savage Rich flex
6- The weekend die for you
7- rema ft sele gomez calm down
8- the kid laroy ft Justin stay
9- c-kay love nwantiti
10- Ruger Dior
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.