Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026.
Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama zile, wapinzani hawa tuwachinje chinje, tuwakishe kete, sitaki kusikia wimbo wa aina hiyo TBC. Kwa sababu sio sahihi. Sio kwa wakati mmoja tu... sio, sio kwenye nyakati mbili tatu, kwenye nyakati zote kuna vitu ambavyo sio sahihi.
Kwa sababu kauli hizo kwamba wapinzani tuwachinje chinje, hata kama ni mzaha, lakini si kauli nzuri. Sio kauli nzuri tu. Tuna majirani ambao tulishasikia kauli za aina hiyo, na kweli zikawaelekeza kwenye mauaji ya kimbari.
Kwa hiyo mimi naamini kabisa kwamba lazima kama Watanzania ambao tumelelewa kwa utamaduni wa kiungwana, tuendeleze siasa za kiungwana, za kuheshimiana na kuthaminiana kwanza, halafu tujenge hoja katika kutofautiana kwenye sera.