Wakristo, App yenye biblia,Tenzi za rohoni na Nyimbo za Wokovu pamoja

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
4,423
Reaction score
9,296
Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu

Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa

Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa

View: https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/

Nimeshindwa kuiweka hapa file is too large

Kwa watu wa iphone toleo lipo tayari bado fee yao ya $99 /yr kuweka playstore

View: https://vt.tiktok.com/ZS4WmL6JT/

Karibuni sana.
Please Mods msiupeleke huu uzi jukwaa la dini watu wanaoona kule ni wachache.
 
Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu

Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa

Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa

View: https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/

Nimeshindwa kuiweka hapa file is too large

Karibuni sana.
Please Mods msiupeleke huu uzi jukwaa la dini watu wanaoona kule ni wachache.

Photo attached
 
Je haiibi taarifa zetu binafsi?
 
Je haiibi taarifa zetu binafsi?
Hapana mkuu only info ninazotumwa kwenye server wakati wa kuangalia update ni package name ya app na app version, pia ukiangalia kwenye settings za simu option ya permission utaona app hairequest any information au permission

Hata hivyo baada ya muda nikipata fedha nitaiweka playstore
 
Mkuu vipi kuhusu tenzi ziko pamoja na beat zake (tone) ?
Hapana nilikuwa nawaza nitafute nyimbo youtube za tenzi then niweke link ili kama huijui unaclick play then inafungua youtube ya hiyo nyimbo

Shida ni kazi kidogo itachukua muda sababu nipo mwenyewe na ninyimbo 160+
Ambazo zinahitaji kufanyiwa research youtube
 
Wakatoliki lzm watafutwe kivyovyote,

jumuiya ya masaki na oyster bay tukutane kesho mviringo baada ya ibada ya pili hapo DMP Azania front
 
Back
Top Bottom