Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Huyu graham alinishauri niende kwa billy sepenga wa EATV nikamwambia Sina kitu sababu gharama za kuandaa nyimbo zimenitafuna pesa balaaa
Mkuu hapa mambo ya CCM yanaingiliaje ndugu yangu? Si ni watanzania wote tusiji gaweKweli sisiem haina msaada kwa shabiki zake.
Hapana mkuu sijawahi kupata TAARIFA zako mkuu tuwe serious hii ni kazi YANGU Sina KAZI nyingine unacho sema si kweli kakaNimekuambia nataka kuwa manager wako umekataa
Hivi pale FNL kumbe wanachaji ukienda? Mbona akina Hamorapa huwa wankwenda tu pale na akili zao mbovu na wanapokelewa.Huyu graham alinishauri niende kwa billy sepenga wa EATV nikamwambia Sina kitu sababu gharama za kuandaa nyimbo zimenitafuna pesa balaaa
Kwamba jamaa, kipa ameenda kushambulia?Kuna mtu alisema Jamiiforum haina Melo.
Melo leo hayupo ofisiniKwamba jamaa, kipa ameenda kushambulia?
Kaka hii inachukua muda sanaWe Komaa na youtube, Facebook, tiktok , google ads na Instagram, inatosha kabisa. Hizo media ukienda viral watakufuata tu wenyewe
Kaka hio level bado ndo nimeanza kaka walau nikae hata miezi kadhaaLabda uende ITV kwenye hawavumi lakini wamo
Kama ngoma ni ya moto kweli huhitaji kulipia utambulisho. Tumia social media, tag watu ambao wanaweza kufanya wimbo uwe viral. Believe me kama ni wa moto lazima utoboe.Msaada gharama ya kulipia kutambulisha nyimbo wasafi FM, clouds, crown na EATV au kama Kuna mdao anaweza nishika mkono tafadhali.
Ngoma ni ya moto wakuu msaada PLIZ Sito kosa show hata ya kudumduliza wakuu
Hii ndio nilivo ambiwa na kibaya zaidi siishi dar nipo zanzibarHivi pale FNL kumbe wanachaji ukienda? Mbona akina Hamorapa huwa wankwenda tu pale na akili zao mbovu na wanapokelewa.
Nasubiria Moja ikamilike natambulisha zote kwa pamoja kakaWeka wimbo hapa tusikilize kwanza