Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

Mbona anapost wasanii wapya, wasioe tambuliwa nadhani ye labda anataka pesa
Labda muziki wako haujafikisha viwango anavyovitaka yeye, na kwa hiyo anacheka tu.

Lakini hao wasanii wapya wengine ambao muziki wao anaona umefikisha viwango, anawapost. Anaona muziki wao umefikisha viwango.

Usipende kufikiri pesa ndiyo utatuzi wa kila kitu. Ili kusema wanatoa pesa, inakubidi uwe na ushahidi fulani hivi, usi assume tu kuwa ni pesa.

Inawezekana muziki wako haujafikisha viwango.

Ukiwa na muziki uliofikisha viwango, hususan kama umepita viwango ukawa na kazi exceptional, watu wengi hawatajali sana kama unawalipa pesa au la, kwa sababu watajua kwa njia moja au nyingine utafanikiwa tu, utajulikana tu, kwa kazi yako, halafu ukijulikana pesa itakuja tu.

Ukiwa na kipaji kizuri, hata bila pesa, watu wengi watataka kuonekana wao ndiyo wamekuvumbua, wame ku introduce kwenye hadhira kama "new talent".

Ndiyo maana unakuta wanamuziki wengi maarufu wameanza kwa kusaini mikataba tu, bila kutoa pesa, na wamejulikana kutokana na kazi yao nzuri, mambo ya pesa hayakuhusishwa sana hapo awali.

Yani muziki wako ukiwa mzuri sana, hata mtu anayetaka pesa, akiona huna pesa, anaweza kukuondolea kipengele cha pesa, tena yeye ndiye anaweza kukupa wewe pesa, kwa sababu anajua anawekeza kwako mapema wakati huja blow up bado, ukifanikiwa atarudisha pesa yake.

Sasa ukiona mtu anakupotezea hivyo, jaribu kuangalia labda muziki wako, hata kama ni mzuri, si aina ya muziki anaoupenda yeye, na kama ni aina hiyo, jitafakari kama umefikisha viwango.

Ni muhimu pia kuwahusisha watu wengine wasiokujua, lakini wanaoujua muziki, wakupe honest review.

Kwa sababu, wewe mwenyewe unaweza kujiona unafanya vizuri, wakati kiuhalisia una bias tu kwa kuwa ni kitu chako mwenyewe.

Ni muhimu sana kupata feedback ya watu tofauti ili usifikiri unafanya kazi nzuri wakati kiuhalisia kazi yako ni average tu, au mbaya kabisa.

Chukua somo la bure hilo dogo.

Mimi nilikuwa kwenye industry tangu Taji Liundi na Mike Mhagama wapo Radio One wanaanzisha "DJ Show".
 
Atajuaje KAZI zangu hazina ubora ilihali hajawahi ziona
 
Inawezekana ana pipeline maalum ya kupata kazi zenye ubora, au ana namna fulani ya kuangalia vigezo fulani vya kujua kuwa hapa hamna kitu. Kakuona hujafanya hata the bare minimum.

Katika zama hizi za utandawazi, watu wenye kazi zenye ubora wanaziweka wazi zinaonekana. Baada ya kuonekana, watu wanazikubali, zinaenda viral, zinawapaisha juu.

Fuatilia story ya bendi moja kubwa ya UK wanaitwa Arctic Monkeys. Jamaa walianza kutoka kwa kugawa CDs bure, miaka ya mwanzo ya 2000. Watu wakawasikia, wakaenda viral, baada ya kuenda viral wakawa gumzo, baada ya kuwa gumzo hakuna mtu aliyeweza kuwa ignore mpaka leo. Ni ma legends.

Sasa wewe tatizo lako watu wamekushauri weka kazi yako wazi watu waisikie, unajifichaficha katika kazi ya muziki, kazi ambayo ni lazima ujitangaze kwa kuweka kazi yako wazi.

Una muziki wako Spotify? Unajua process ya kuweka muziki wako Spotify? Una Youtube channel? Uko social media gani inayoweza kukusaidia uanze ku trend ili hata hapa wanaotaka kukupaisha waweze kufanya hivyo kama wanaona una kazi nzuri?

Hujaweka hata social media yako moja hapa, ndiyo maana unakutana na watu wana ku ignore, hata kama una kazi nzuri, wanakuona kama mtu asiyejua kitu anapenda umaarufu tu.

Biashara matangazo, sasa wewe unataka kufanya biashara ya muziki huku umejificha watu watakujuaje?

Si kweli kuwa nimejificha, project haijakamilika nilicho taka nikutengeneza promo iili tapo chia project watu wawe tayari nafaham ugum wa kupeleka project mjini, si KAZI nyepesi bro, pesa pesa pesa, alafu unadai najifichaficha kaka mziki gharama uende studio gharama ushoot video gharama na zote zinaninangalia mimi sina mtu kusema tunasaidizana hapana ni mimi mwenyewe Yani Kila unakiona kuhusu mimi basi elewa 💯 percent n mmi mwenyewe hivo mambo hayawezi kimbia kaka lazima yaende polepole sasa kama wasanii wa muda mrefu wanalalamika mimi chipukiz NIFANYEJE, lazima niheshimu uwezo wangu ulipo fika siwezi jiinhiza kwenye madeni ili nyie mfarahie KAZI zangu sijui na Sina hakika kama humu tasapotiwa na watu asilimia ngapi mkuu polepole ndio mwendo kaka nguvu zangu ndogo sna
 
Mpaka sasa unaweka maneno ambayo mtu yeyote anaweza kuweka.

Hujaweka kazi yako.

Ndiyo maana watu wanakuona mzushi tu.
 
Uko sawa kaka, lakini hata mimi bado Sina Imani SANA na jf ndio mana mambo yanaenda taratibu kaka, ila naamimi tutafurah si punde
 
Siyo huna imani na JF.

Huna imani na kazi yako.

Mtu mwenye imani na kazi yake ya muziki atataka muziki wake usambae kote ajulikane.

Achana na JF.Nimekuuliza mchongo wa Spotify, hujauliza hata unaweka muziki wako huko vipi.
 
Spotify, boom,mziki, app zote za kuuza mziki taweka ndio mana nimesema mambo yanaenda polepole tuwe na subra taratibu
 
Sijali, naonesha contradictions katika story yako ya "hurry up and wait".
Usijali mkuu ili sapoti Yako inatakiwa kwa ukubwa ili uniprove wrong nione kweli bro alikua na hamu na mziki wangu na si vinginevyo,
 
Back
Top Bottom