Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Achana nae huyo ananipenda sana ni mpenzi wangu kaka si unajua wanawake na wao mambo yaoKwamba jamaa, kipa ameenda kushambulia?
Achana nae huyo ananipenda sana ni mpenzi wangu kaka si unajua wanawake na wao mambo yaoKwamba jamaa, kipa ameenda kushambulia?
Utambulisho utaanzia hapa kaka kwa heshima ya jf alafu mambo mengine yta fuataKama ngoma ni ya moto kweli huhitaji kulipia utambulisho. Tumia social media, tag watu ambao wanaweza kufanya wimbo uwe viral. Believe me kama ni wa moto lazima utoboe.
Unataka kusema nini mdogo wangu?Kuna mtu alisema Jamiiforum haina Melo.
Huko ndo level zenu sasaKaka hio level bado ndo nimeanza kaka walau nikae hata miezi kadhaa
Una Manisha mimi? Kutongoza mshangazi ya jf, mkuu we ni mwenyeji unajua matani ya humu kwani we ni mgeni humu matani ni mengi kumbe unachukulia serious kaka, puuzia ya humu mkuu, ni matani tunasukuma siku tuYou are living a delulu lifestyle dogo, mara ujitongozeshe kwa mashangazi ya jf, yaani aliye kuroga kashafariki
Abdala anamcheka DullaYou are living a delulu lifestyle dogo, mara ujitongozeshe kwa mashangazi ya jf, yaani aliye kuroga kashafariki
Ni kweli ila nianze na hizo media kwanza ikibuma basiHuko ndo level zenu sasa
Kwani mi nikiitwa shoga ni kweli mi shogaYou are living a delulu lifestyle dogo, mara ujitongozeshe kwa mashangazi ya jf, yaani aliye kuroga kashafariki
Shenzi, nitakutandulila... 😂Abdala anamcheka Dulla
Mkuu promo muhimu kakaKizuri chajiuza
Kama hiyo picha ndio muonekano wako hutatoboaMsaada gharama ya kulipia kutambulisha nyimbo wasafi FM, clouds, crown na EATV au kama Kuna mdao anaweza nishika mkono tafadhali.
Ngoma ni ya moto wakuu msaada PLIZ Sito kosa show hata ya kudumduliza wakuu
Aisee! Ni noma sana.Hii ndio nilivo ambiwa na kibaya zaidi siishi dar nipo zanzibar
Aahh mtaalam kumbe upo mjini.Kila jambo na wakati wake kama ni muda wako huitaji kuwatafuta watakutafuta wenye
Ushauri tu
Sawa kaka mungu anisimamieKila jambo na wakati wake kama ni muda wako huitaji kuwatafuta watakutafuta wenye
Ushauri tu
Kaka usiogope ndio KAZI zetu zilivo mashabiki zetu ndio wana penda hiviKama hiyo picha ndio muonekano wako hutatoboa
Miondoko ya rnb, hip-hop, mixer ila kwa sasa naomba mziki wa ghanapiano ndio nimerekodiUnaimba mziki gani ?