Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Raha ya unafiki n kujifanya ww mwnyw hujui kinachoendelea š„Halafu na huyo jamaa yeye ni kusuport tu sijui hanaga bandamaš¤
Raha ya unafiki n kujifanya ww mwnyw hujui kinachoendelea š„Halafu na huyo jamaa yeye ni kusuport tu sijui hanaga bandamaš¤
Kwani bado kipo hiki kipindiLabda uende ITV kwenye hawavumi lakini wamo
Angekuwa anatyonjesha kazi zake huenda tungemshauri. Wazee wengine humu tuna sikio la kusikia kitu kizuri au kibaya.Nilimwambia anipe shavu nimsimamie kazi zake, ila kwa Mkataba kama wa Wasafi na akina Harmonize yeye hataki š¤Ŗ
Anaogopa kuja kunilipa milioni 500 akiomba kutoka š
NB: Namshauri awe anatupia kazi zake kwenye mitandao ya kijamii ili watu washee kama zitakuwa nzuri
Kingine atafute menejimenti ya kumsimamia kazi zake
Hakika, humu tupo zaidi ya laki 4 na ushee tukiwa ndani ya kinyago(ghost)Angekuwa anatyonjesha kazi zake huenda tungemshauri. Wazee wengine humu tuna sikio la kusikia kitu kizuri au kibaya.
Hongera kwa kupambana MkuuSafi mkuu kwa kua mkweli mziki ni gharama mi mwenyewe hapa nmetoboka na bado pesa inahutajika sio kitoto.
KAZI zangu tazizindua humu, siku si nyingi namalizia video shooting naachia mizigo
Unalolisema Llna ukweli kwa kiasi kikubwa mno. Maprezenta wengi sana wako humu tatizo hatujui id zao.Hakika, humu tupo zaidi ya laki 4 na ushee tukiwa ndani ya kinyago(ghost)
Nani anajua username ya Kennedy the remedy wa Clouds, usikute ni min -me š
Usijali nilishauriwa nisiachie KAZI nusunusu watu wataanza mitafaruku hivyo niachie KAZI yote ikiwa tayariHongera kwa kupambana Mkuu
Ingefaa utupe vionjo hata vya audio pekee, maana wewe ni kama mtoto wetu, utaanza muziki na kufanikiwa ukitokea JF
Sawa MkuuUsijali nilishauriwa nisiachie KAZI nusunusu watu wataanza mitafaruku hivyo niachie KAZI yote ikiwa tayari
Sitowaangusha ila ninge omba na nyie walau tysaidizane kusambaza mkuu nadhani hii ni nyepesi zaid kuliko kuchangishana pesa kakašSawa Mkuu
Tunasubiri kazi nzuri
Ukiwa na nyimbo nzuri, Mimi nakuhaidi kukutafutia shoo mwakani ukaimbe hata kwenye Mkesha wa MwengeSitowaangusha ila ninge omba na nyie walau tysaidizane kusambaza mkuu nadhani hii ni nyepesi zaid kuliko kuchangishana pesa kakaš
Hayo ndio mambo mkuušŖšŖšŖššUkiwa na nyimbo nzuri, Mimi nakuhaidi kukutafutia shoo mwakani ukaimbe hata kwenye Mkesha wa Mwenge
zomboko bana, hapo anajifanya kusapoti kama hajui vinachekesha! Jamaa mnafki sana!Raha ya unafiki n kujifanya ww mwnyw hujui kinachoendelea š„
Tangu enzi mpaka sasaKwani bado kipo hiki kipindi
KWELI ITV supa Brandi, hicho ni kipindi Bora km una stress zakoTangu enzi mpaka sasa
hahahhaha, na usikute wana mlinda kiana ili awape interviewzomboko bana, hapo anajifanya kusapoti kama hajui vinachekesha! Jamaa mnafki sana!View attachment 3699061
Kaka Kuna member mwenzetu Instagram anaitwa hope Tyga, huyu ni mchambuz maarufu na ana fahamiana na wacambuzo kibao wa burudani huyu alikiri kua ni member wa jamii forum, ye mwenyewe alisema, huyu akinisapoti tu post mbili kwa wiki insta gram kwisha KABISA Haina hata haja ya media tour lakini Kila nikimtafuta insta hua anacheka tu haongei chovhoteUkiwa na nyimbo nzuri, Mimi nakuhaidi kukutafutia shoo mwakani ukaimbe hata kwenye Mkesha wa Mwenge
Ukiona hivyo basi ujue kuna viwango fulani havijafikiwa.Kaka Kuna member mwenzetu Instagram anaitwa hope Tyga, huyu ni mchambuz maarufu na ana fahamiana na wacambuzo kibao wa burudani huyu alikiri kua ni member wa jamii forum, ye mwenyewe alisema, huyu akinisapoti tu post mbili kwa wiki insta gram kwisha KABISA Haina hata haja ya media tour lakini Kila nikimtafuta insta hua anacheka tu haongei chovhote