Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

Hapana haichukui mda hata kidogo, Tengeneza short short Reels zinasaambaa sanaa.

Na uzuri wa social networking utuaaza kulipwa mapema sana, hasa Facebook ukiwa tu na page followers 5000 na profile account followers 7000-10000.
Mkuu kwa sasa Sina hao followers hiyo ni long term plan, Ina mana sio ya leo Wala kesho afikiri apatikane tu mtu walau anisambazie kwenye station nyimbo ipigwe tu walau hata kwa wiki mara Moja tosha kabisa mkuu nikisambaza wasafi, crown, cloud nk EATV na tbc tosha kabisa
 
Shida siyo kusambaza, lazima uwe na foundation, alafu pili song iwe kali, hakuna media inaweza kuchukua kazi mbovu/isiyo heat na ichangie wewe underground.

Ndo maana asimilia kubwa wale wanao chipukia huwa wana nyimbo ya kwanza lazima iwe 🔥 🔥.

Ndo maana kwa vile wewe bado unajitafuta, huna management, anza kote kote,

Kingine 70 - 75 watu hawaangalii sana hivi TV station.
 
Ni kweli nacho kitaka mimi wanipost tu kwenye page zao kwisha kabisa
 
Ngoja wale wazee wadau wa muziki waje.

Cc Grahams, fimboyaukwaju.
Nilimwambia anipe shavu nimsimamie kazi zake, ila kwa Mkataba kama wa Wasafi na akina Harmonize yeye hataki 🤪

Anaogopa kuja kunilipa milioni 500 akiomba kutoka 😅

NB: Namshauri awe anatupia kazi zake kwenye mitandao ya kijamii ili watu washee kama zitakuwa nzuri

Kingine atafute menejimenti ya kumsimamia kazi zake
 
mna hangaika na ma radio wakat Platforms kibao wekeza nguvu kwa social media lipa watu wakutangaze wasaniii wa comedy media zipo nyingi za online huko maredioni waaachieni makampuni tu kwanza nani anaskiliza radio kama ku scrol insta...jiongeze
 
Nilimwambia anipe shavu nimsimamie kazi zake, ila kwa Mkataba kama wa Wasafi na akina Harmonize yeye hataki 🤪

Anaogopa kuja kunilipa milioni 500 akiomba kutoka 😅

NB: Namshauri awe anatupia kazi zake kwenye mitandao ya kijamii ili watu washee kama zitakuwa nzuri

Kingine atafute menejimenti ya kumsimamia kazi zake
Kaka kwanza naomba nikatae kwamba sijawahi goma kisimamiwa, sababu ya kusema hivo wengi wanao kuja humu kudai wanisimamie sio wa kweli ni waongo wengine matani mlikubaliana wanaingia mitini.

Kaka hujawahi kua serious ila ulinishauri niende kwa wakina billy sepenga nikadai hao wanataka pesa nami siko njema
 
Ni sahihi, hata kwangu nimefanya utani tu, kwa umri nilionao, siwezi kukumeneji

Nikusihi kutokata tamaa

Kama utaweza hebu uwe unatuwekea vionjo vya kazi zako humu hata vya sekunde 15 ili tuonje ladha ya kazi zako

Tunaweza kushea sehemu y,x,z katika kusaidiana sikio la kusikiliza kazi zako

Kila la heri
 
Safi mkuu kwa kua mkweli mziki ni gharama mi mwenyewe hapa nmetoboka na bado pesa inahutajika sio kitoto.

KAZI zangu tazizindua humu, siku si nyingi namalizia video shooting naachia mizigo
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni kwamba kile kipindi hakijawahi kutoa star... ili upite kwenye kile kipindi lazima usiwe unajua kuimba alafu uwe mshamba( mlugalufa)
Wale jamaa wanatangaza kwamba kwenda kufanya kipindi pale n bure, ila kuna ambao wanalipia, wale wa kulipia unakuta wana segment yao pekee yao na unakuta atleast wanajua kuimba kdg ila hao wa bure ndo unakuta wamejazwa wawili au watatu pamoja wote unakuta wapo ovyo ovyo 😂
 
Back
Top Bottom