Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Habari zenu guyz🤣🤣🤣🇹🇿

Bhana leo nilikua naenda studio nashukuru mungu Kila kitu kimeenda sawa sasa kilicho Baki ni video shooting panapo majariwa jmosi naanza video shooting.

Aseee kwenye kitu kilicho nipa furaha leo ni pale nilipo kua narekodi asee nimeimba kwa hisia sana.

Nyimbo yangu hii ya kwanza inahusu pesa, nimeizungumzia pesa, nimeizungumzia harakati za dudu baya na wochi yua baki au kuurinda mgongo aseeee, nyimbo nimeimba kwa mtindo wa ghanapiano🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

JAMANI wale wenye page za mtandaoni insta nawaomba sana pliz pliz pliz nissuporting ndugu zangu tukiwasheee🔥🔥🔥🔥.

Sina MASIKHARA, lakini naahidi endapo tafanikiwa kwenye mziki mwakani taanda party ya kujipongeza itakuwa kwenye yatch kula kunywa ni shida dadaz kibao, hio yote shukran kwenye jamii forum pliz nisuprtin wale mabraza zetu wa kipindi hicho kina marehemu Le mutuz huenda leo ange nishika mkono lakini hatunae leo, r.i.p ila na amini wapo wengine, mungu amsamehe dhambi zake kwa upendo wake yeye mwenyezi, Amina🙏🙏🙏🙏


see you soon
 
Back
Top Bottom