Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

Harmonize wa jukwaani. Best wishes. Usikubali kufanya shoo chini ya $25,000. Mtafute Busu la Kenge anaweza kuwa meneja wako.
Kaka pongezi sana, ila napambania albam au EP, ili mwakani nifanye tour yangu mwenyewe chunya, kahama, bukoba, nk mi Sina management najitegemea mwenyewe hivo gharama ni kubwa ila kwa UWEZO wa MUNGU tashinda, polepole ndio mwendo kaka japo dola 25 elf kubwa sana kaka tasoma upepo nikitambulisha hii ngoma yangu ya kwanza itatoka November mosi
 
Back
Top Bottom