Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana

Kwa mara ya kwanza leo nimeingia studio kurekodi nyimbo yangu ya kwanza asante mungu nafuraha saaana


Majaariwa✖️....
Majaaliwa✅️....
Nyimbo Yangu✖️
Wimbo Wangu✅️....
Tatafanikiwa✖️....
Nitafanikiwa✅️....
Taanda✖️....
Nitaandaa✅️....
Hio✖️....
Hiyo✅️....
Nisuprtin✖️....
Nisupporting✅️.....
Post #24
Usijari✖️
Usijali✅️
Tawahuza✖️
Nitawajuza✅️....."Kazi Njema"
​
 

Majaariwa✖️....
Majaaliwa✅️....
Nyimbo Yangu✖️
Wimbo Wangu✅️....
Tatafanikiwa✖️....
Nitafanikiwa✅️....
Taanda✖️....
Nitaandaa✅️....
Hio✖️....
Hiyo✅️....
Nisuprtin✖️....
Nisupporting✅️.....
Post #24
Usijari✖️
Usijali✅️
Tawahuza✖️
Nitawajuza✅️....."Kazi Njema"
​
Punguza ujuaji mkuu, 🤣🤣 hatuishi hivooo
 
Kijana wa kiume akishaandika ujumbe na vi emoj vya kutosha kwenye andiko lake baaasi hayupo kwenye group niaminini mimi
 
Zingatia hayo merekebisho haswa wakati wa kutunga nyimbo.
Hii itakusaidia kupata mashabiki wa rika zote.
Havihusiani mkuu, kaangalie wa Nigeria wanavo imba, tena ni kingereza lakini wanakitamka kihuni sana na ndio leaders wa burudani na mashabiki wakijaza viwanja ulaya na marekani bila kujari wana imba ndivyo sivyo
 
Back
Top Bottom