Kwenye nyimbo yangu, tayoitambulisha karibuni nme muimba chivayo , je hicho kipande nikifute

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.

Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"

Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
 
Kwahiyo mnaosema ni uhakika je watu wataenda kizimkazi kutoa pole na salam za rambirambi kama mwanzo?
 
Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.

Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"

Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Toa toa toa Ngoma mwana,kwani maneno kifo ni kifo na kila mmoja atakipitia hujasikia?
 
Umenipa energy na power kwa pamoja, usiwazee ach nimalizie studio session kureview ninawekeza big thing kuliko ili nianze na kufanya shows mikoani msiniangushe kwenye kusambaza ngoma yangu wakuu, nizichape show za chaka tu chaka, mlango tu mlango usipo fungua dirisha tu dirisha hadi waseme poooooo
 
Back
Top Bottom