Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Hakika Mkuu 😅hahahaha,hii fursa naomba aione ,asiiache
Hakika Mkuu 😅hahahaha,hii fursa naomba aione ,asiiache
Ukiwa kapuku hata ndugu zako hawakutaka.hahahaha,babu yake hana hela kama chivayo
hahhahahahahaUkiwa kapuku hata ndugu zako hawakutaka.
Jamaakamuimba chivayo sababu tajiri kaacha babu yake lofa.
muongeze na samuya itapendeza sana, mix na yule mzee wake aliyekufwa juzi kati.Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Hapana mkuu mo ni jina la biashara na Sina makubaliano yoyote naye, naheshimu mikataba ya kibiasharaHuoni vina kati na mwanzo
"Chivayo" na "Mo"
Hapana mo ni jina la biasharahahahaha,hii fursa naomba aione ,asiiache
Ikiwezekana itakuwa poa sana hiyo japo yule nilihitaki awe mpenzi wanguYule binti uliyemuandikia uzi jana ulikuwa unamuhitaji kwa ajili ya video ya hii ngoma???
Ikiwezekana itakuwa poa sana hiyo japo yule nilihitaki awe mpenzi wanYule binti uliyemuandikia uzi jana ulikuwa unamuhitaji kwa ajili ya video ya hii ngoma???
Babu yangu anaingiaje hapa mkuu, unataka laana,Ukiwa kapuku hata ndugu zako hawakutaka.
Jamaakamuimba chivayo sababu tajiri kaacha babu yake lofa.
Muheshimu rais wangu basi mkuumuongeze na samuya itapendeza sana, mix na yule mzee wake aliyekufwa juzi kati.
Mbona wenzio wasanii wakubwa na wanamtajaHapana mkuu mo ni jina la biashara na Sina makubaliano yoyote naye, naheshimu mikataba ya kibiashara
Mi haiwezekani kaka nipo kibiashara nikisha kaa nae meza Moja ndio tutafanya KAZI vinginevyo hapana mkuuMbona wenzio wasanii wakubwa na wanamtaja
Profesa Jay amemtaja, kwenye wimbo aliofanya na Harmonize
Vile vile Harmonize amemwimba kabisa SSB, Barhessa
nyimbo zako zinapatikana wapi? tusikilize kdgMi haiwezekani kaka nipo kibiashara nikisha kaa nae meza Moja ndio tutafanya KAZI vinginevyo hapana mkuu
Kaka mpaka wa leo hujanambia kuhusu hatma yangu ya kwenda mawinguni kwenye interview kakahahhahahahaha
Kaka natambulisha nyimbo yangu ya kwanza soon mkuu, Kuna mabadikiko nimefanyabhivo nakuja kiupya na kisasa zaidnyimbo zako zinapatikana wapi? tusikilize kdg
huna nyimbo za nyuma? au hiyo utakayo tambulisha ndio ya kwanza?Kaka natambulisha nyimbo yangu ya kwanza soon mkuu, Kuna mabadikiko nimefanyabhivo nakuja kiupya na kisasa zaid