Kwenye nyimbo yangu, tayoitambulisha karibuni nme muimba chivayo , je hicho kipande nikifute

Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.

Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"

Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Ukiweke au ukitoa, what's the difference?
 
Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.

Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"

Nilimuimba kidogo sana, asee sasa Niko njia panda sijui nikifute au tuondokeeee mazeeer
Usifute, ila sasa muenzi
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Umeshawahi kuona nyani waliofiwa wamepewa pole?
 
Mcheki Bill Sepenga wa EATV, yule ukimpatia hela ya wine anaweza kukusaidia kukupa connection ya hayo maeneo

Lakini jitahidi mkwaju uwe mkali

Kama utaweza mcheki Kussah akuimbie chorus
Hao wanaitaji pesa ndugu namimi kwa sasa napitia kipindi chenye mambo mengi ikiwemo biashara zangu ili niweze kusimamisha nje ya mziki in short hao wanaitaji pesa kaka
 
Back
Top Bottom