Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo.
Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa...
Leo sijaja na mada inayokutaka ureason saana,..Aya waliosomea Kabanga na kufundishwa English na huyo mwalimu advanced level piteni hapa kidogo.....nasikia saizi yupo Ngara high school mko wapi
Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi.
Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
Kwa hili wimbi la hawa vichogo wanaomaliza fom foo, kuna haja ya mkakati madhubuti.
Nikiwaangalia hawa naona kabisa ni kama maboksi matupu ambayo yako rada katika uzalishaji wa watoto wasio na baba.
Akili yangu inaniambia, kizazi cha GEN Z ni kizazi kisicho bunifu na chenye akili duni sana...
Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya.
Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili.
Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu.
Au bora kutumia condom bila tetesi
Naomba msaada wa mawazo katika hili.
Natanguliza shukrani
Tangu mwezi Mei mwaka huu, China imetekeleza sera ya ushuru sifuri kwa nchi 53 za Afrika ambazo zina uhusiano wa kibalozi nayo, na kuondoa kabisa kizuizi cha ushuru kwa bidhaa za Afrika zinazoingia katika soko la China.
Matokeo ya sera hii yalionekana mara moja. Katika miezi ya Mei na Juni...
Kule IG dada kaongea vitu kibao sasa unajua nini kijana una kitu ndani yako na Mungu alikuponya kule Katavi kwa sababu ebu weka ukamalia pembeni hizi wiki mbili walete vijana kati
Uchunguzi wa mazingira ya kifo cha Robert Kabera nchini Uganda umefungua upya mjadala kuhusu migogoro ya ndani ya RPF, urithi wa Fred Rwigyema na madai ya kutengwa kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na waanzilishi wa chama hicho.
Kifo cha aliyekuwa mwanajeshi wa Rwanda, Sergeant Major Robert...
Kusimulia tabia za wanyama
Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu .
Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana
USSR
Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.