Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo.

Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo kwenye chama cha laana, kwasababu watu wengi sana nchini wametukanwa na kudhalilishwa kwa tuhuma za uongo kupitia wanaharakati wa CHADEMA.

hakuna mtu mwenye akili nzuri ambaye huwa anaiona chadema kwa jicho la upendo, chadema ni laana..hakuna mtu anaweza kujinasibu hadharani kuwa yy ni chadema kwasababu anajua Jina lenyewe tu ni laana.

USHAURI WANGU:
LEMA JITOE CHADEMA.
 
Naomba @moderators mni editie ni Godbless siyo Godless
 
Hivi nyie chawa mnalipwa kiasi gani kukubali kujitoa utu hivi?
 
d7e04c84c9a7286943f660086f3e3082.jpg
 
Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo.

Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo kwenye chama cha laana, kwasababu watu wengi sana nchini wametukanwa na kudhalilishwa kwa tuhuma za uongo kupitia wanaharakati wa CHADEMA.

hakuna mtu mwenye akili nzuri ambaye huwa anaiona chadema kwa jicho la upendo, chadema ni laana..hakuna mtu anaweza kujinasibu hadharani kuwa yy ni chadema kwasababu anajua Jina lenyewe tu ni laana.

USHAURI WANGU:
LEMA JITOE CHADEMA.
 
Attachments

  • Screenshot_20260714-183814~2.png
    Screenshot_20260714-183814~2.png
    1.4 MB · Views: 1
Back
Top Bottom